CRDB acheni wizi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Jana niliomba statement CRDB, nilikutana na makato ya ajabu.
Mlolongo huu wote huwa mnatuibia.

Card Fees TZS 3000
ATM Withdrawal charge TZS 500
COMM EFT TZS 1500
Monthly Maintanace Fees 400
Service Fees –Memo Account Style 700
Charge areas Towards Monthly Mantanace Fees 400.

Pia huwa mna-double charge. Huu sio ustarabu, maisha ni magumu, acheni wizi.Msitufanye tumetoka kijijini kwa kutuwekea terminologies au vifupisho vya maneno.

Mimi pia nilitoa milioni moja kwenye atm. Cha kusikitisha atm ilikuwa ikitoa laki mbili mbili tu na hivyo kunilazimu kutoa mafungu matano badala ya mawili na kuniibia elfu moja kwa huduma hiyo. Huu ni wizi mbaya.

Ni aina a ujanja unaotumika na mabenki mengi kuweza kuwaibia watu ki urahisi na wao kupata faida kubwa huku wakijisifia kuwa na wateja wengi ambao mnatuibia na huku bado huduma ni mbovu foleni kubwa kama nini kuanzia kwenye ATM mpaka ndani na hamtaki kujirekebisha kifupi mnakera watu ni vile tu mazingira yanatufanya tutumie benki vinginevyo msingetuona hapo.

nilikwenda kutoa million,kumbe unatoa laki nne nne wakt nasubir nibonyeze mara ya pili sikuitoa card ikamezwa ilikua ijumaa jioni...wameweka namba yao ya line ya voda nkawapigia ..nkajibiwa niende j3! Hata zile laki nne za mwanzo hazikutoka...na mahitaji angu hayakutimia. Nawashaur hiyo huduma ilitakiwa iwepo muda wote kama card inamezwa unapata muda wakuwaona wahusika na unapewa card kwa muda. Huo nao ni usumbufu!

Hakuna wizi wowote makato yapo sawa tena niwapongeze CRDB kwa kukusanya charges katika huduma zao, kwani bila charges huduma isingekuwa nzuri leo hii. Bank ni duka kama maduka mengine hivyo kukusanya mapato yake kwa huduma wanazotoa ni suala la muhimu kuliko chochote. Kadi inapokamatwa ni utaratibu kupewa siku inayofuata kama siyo weekend. Kwa hiyo kuambiwa uchukuwe j3 afisa huyo amefanya jambo sahii. Tusipende kulalamika pasipo kujua utaratibu wa mahala popote pale.

Mteja wa CRDB

jana niliomba statement crdb, nilikutana na makato ya ajabu.
Mlolongo huu wote huwa mnatuibia.

Card fees tzs 3000
atm withdrawal charge tzs 500
comm eft tzs 1500
monthly maintanace fees 400
service fees –memo account style 700
charge areas towards monthly mantanace fees 400.

Pia huwa mna-double charge. Huu sio ustarabu, maisha ni magumu, acheni wizi.msitufanye tumetoka kijijini kwa kutuwekea terminologies au vifupisho vya maneno.

hiyo maintanance fee ulienda kufanya service ya gari yako nini??

Mimi pia nilitoa milioni moja kwenye atm. Cha kusikitisha atm ilikuwa ikitoa laki mbili mbili tu na hivyo kunilazimu kutoa mafungu matano badala ya mawili na kuniibia elfu moja kwa huduma hiyo. Huu ni wizi mbaya.

Nadhani uliikosea ATM mkuu, ndio unaweza kuwithdraw million kwa siku, but lazima kwa interval utoe laki nne, tena nne na unamalizia na laki mbili.

Hakuna wizi wowote makato yapo sawa tena niwapongeze CRDB kwa kukusanya charges katika huduma zao, kwani bila charges huduma isingekuwa nzuri leo hii. Bank ni duka kama maduka mengine hivyo kukusanya mapato yake kwa huduma wanazotoa ni suala la muhimu kuliko chochote. Kadi inapokamatwa ni utaratibu kupewa siku inayofuata kama siyo weekend. Kwa hiyo kuambiwa uchukuwe j3 afisa huyo amefanya jambo sahii. Tusipende kulalamika pasipo kujua utaratibu wa mahala popote pale.

Mteja wa CRDB

mpendwa,

hapo kwenye bold hata mimi yamewahi kunikuta kariakoo na kadi niliichukulia kesho yake mlimani city. wakaniambia eti niliingiza pw kwa haraka kabla kitaa fulani hivi hakijaflash ndio maana kadi ilimezwa!

lakini mi sioni ulazima wa huo usumbufu wote kadi ni yangu na hata kama umeingiza password kimakosa, kwa nini wasiirudishe urudie tena password? na ni vyema wakaweka warning kuwa ukirudia pasword mara kadhaa ndio inamezwa.

nchi zingine kadi haimezwi kabisa, ukikosea password inarudi unachomoa na kurudia tena process

mi naona ni usumbufu usio na sababu kwa kweli!

Jana ndio balaa umeme umekatika na ATM zao zote hazifanyi kazi nimeanzia nyerere road kweupe,nikaja kamata pale shoprite kweupe nikaja pale NSSf water front kweupe ndio nikaja posta mpya nikakuta zinafanya kazi.Yaani hawana hata standby Generator kazi tunayo nafikiria kuhama sasa!

Similar Discussions

Back
Top Bottom