CRBD kushirikiana na serikali kuwezesha mitaji kwa wajasiriamali vijana

mamayoyo1

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,011
1,019
  • Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Majid Nsekela ameipongeza Serikali ya awamu ya Tano chini ya uongozi wa Mh Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli kwa kazi kubwa inayofanya katika kuleta maendeleo na kuwahudumia Watanzania na hivyo katika kuunga mkono juhudi za serikali Benki ya CRDB ipo tayari kushirikiana na Serikali katika kuwawezesha mitaji wajasiriamali Vijana kwa lengo la kuongeza tija na uzalishaji ili kukuza uchumi wa kijana mmoja mmoja na nchi kwa ujumla.
  • Majid Nsekela ameyasema hayo leo katika Ofisi za Makao Makuu ya Benki ya CRDB Azikiwe,Dar es salaam wakati alipokuwa akifanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Anthony Mavunde juu ya namna bora ya kukuza mitaji ya wajasiriamali Vijana nchini Tanzania.
  • Akitoa maelezo yake,Naibu Waziri Mavunde ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuamua kushirikiana na Serikali katika kuwawezesha Vijana kupitia mikopo ya masharti nafuu katika kuendeleza Uchumi wa Viwanda na kuahidi kutoa ushirikiano ili azma hii ya kuwafikia Vijana wengi zaidi nchini ikamilike kama ambavyo matarajio ya Serikali yanavyoainisha kwamba ifikapo mwaka 2025 takribani 40% ya nguvu kazi nchini iwe imeajiriwa kwenye sekta ya Viwanda.
 
Huyu DG mpya wa CRDB naona anajiingiza sana katika siasa ataua benki asipoangalia maana naona anafanya mambo kwa kuwafurahisha wana siasa
Pascal Mayalla
Mshana Jr
faiza foxy
Salary Slip
GENTAMYCINE
 
Mikopo ya Riba? Au

Kama ni ya Riba ni haramu kwa Imani zote zinazotambua uwepo wa Mungu.
 
Hizi dini naona zinatupunguzia uwezo wa kureason kabisa..... Kwani hao wanakopesha mtu mwenye shida ya kula au maskini?? Hao wanakopesha watu wanaosaka faida ndio maana unayeomba mkopo uwe na dhamana ya kueleweka.... na CRDB ni benki inayosaka faida sasa hizo riba zinatumika kucover thamani ya pesa iliyopungua,mfumuko wa bei, kumlipa Avaliser, mishahara n.k sasa ukitaka watoe bila riba hizo operation cost kwenye kutoa mikopo zitakuwa covered na nani??

Sio kila kitu tuingize mahaba ya kiimani.... Maana tukiingia deep hata hii simu usingetumia maana zimetengenezwa na makampuni ambazo zina wafanyakazi mashoga na wala nguruwe!!
 
Hizi projects zenye political elements ni riskier kwa business inabidi wawe waangalifu sana
Hata ule mradi wa Stiegler nao naona Crdb wame team up na bank nyingine ku finance
 
sawa sawa
IMG_20190528_232503.jpg
 
Hizi dini naona zinatupunguzia uwezo wa kureason kabisa..... Kwani hao wanakopesha mtu mwenye shida ya kula au maskini?? Hao wanakopesha watu wanaosaka faida ndio maana unayeomba mkopo uwe na dhamana ya kueleweka.... na CRDB ni benki inayosaka faida sasa hizo riba zinatumika kucover thamani ya pesa iliyopungua,mfumuko wa bei, kumlipa Avaliser, mishahara n.k sasa ukitaka watoe bila riba hizo operation cost kwenye kutoa mikopo zitakuwa covered na nani??

Sio kila kitu tuingize mahaba ya kiimani.... Maana tukiingia deep hata hii simu usingetumia maana zimetengenezwa na makampuni ambazo zina wafanyakazi mashoga na wala nguruwe!!
Kweli kabisa mkuuu. Dini wakati mwingine bwaana
 
Back
Top Bottom