Crazy things you did in secondary school

Dah pale nilipotumia muda Wang kujib chemistry 2 exam ambao n wa girlfriend ang na kuxhindwa kmaliza maswal kwa upande Wang kitu kilchozua mjadala baada ya kpata grade B kitu ambacho ckuwah Ku fail namna hyo japo ilikuwa f6 terminal exam 2017
 
Umenikumbusha mbali sana
 
Maisha yangu ya shule yalikua hakipole mno... Ila nakumbuka tu machache... O-level nilikua na simu kwenye missionary school.

Taarifa zikasambaa dogo wa form 3 ana simu basi hadi A-levek wakawa wanaomba. Nikapiga simu casta home waje waichukue simu kabla sijafukuzwa.

A-level nikakamatwa na simu , niliiba funguo za displinary committee office nikaenda kuchaji. Ilikua government school...

Nilisimamishwa bila taarifa ya unatudi lini. Yaani baada ya miezi miwili baba akaonhea na rafiki yake nikarudishwa shule. Nilikua nishaanza kutafuta shule nyingine.
 
Back
Top Bottom