DuuuuhKumwaga maji kwenye kitanda cha kiongozi mmoja mnoko usiku akiwa amelala ikaonekana kajikojolea
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wa Morega haoduuh mara sec hiyo iwe siku ya nyama afu wewe ndo mgawaji unawahi sana kabla wenzako hawajafika unapiga 3 za fasta unatulia. zikipelea mnawekeana bifu na aliekosa
Umenikumbusha mbali sanaDah pale nilipotumia muda Wang kujib chemistry 2 exam ambao n wa girlfriend ang na kuxhindwa kmaliza maswal kwa upande Wang kitu kilchozua mjadala baada ya kpata grade B kitu ambacho ckuwah Ku fail namna hyo japo ilikuwa f6 terminal exam 2017
Nilikosa chakula nikagonga kengele wakati huo watu washaingia madarasani saa 8
Sijui huo ujasiri niliutoa wapidaah mkuu ulikuwa kiboko yao
Duh!Burning our school toilet
Uligonga kengele ya nini sasaNilikosa chakula nikagonga kengele wakati huo watu washaingia madarasani saa 8
Hata sijui, akili za utotoUligonga kengele ya nini sasa
Khaaa huyoo ndgu akuwa jamaa mzurii alimeza samaki nimecheka sanaBishop Arusha....wacha kabisa kwenye mashndano ya kula mchizi wangu john alimmeza samaki mzima bila kumtafuna.