Crazy things you did in secondary school

Nakumbuka siku ya kula wali J4 lakini viongozi wa chakula anajichotea wali wa kutosha anakulahadi Ijumaa
Jamaa unazingua ujue,
Nilikuwa table leader Mzumbe High school,dah siku ya pilau nilikuwa nakula nyama tu,utadhani nalipia bili,
 
Km
Bwenini ilifika kipindi Maticha wanawataka girls, msosi wa shule tabu sasa mademu wanapenda raha sana.

Kuna Ticha akawa anachukua nyama na mchuzi na kwenda kuwahonga girls wawili ambao walikuwa na mbolea za maana, wale girls nao wanachukua na kwenda kumuhonga jamaa yao anayewagonga wote. Hakuambulia kitu, kuja kushtuka Wasichana wakamtema. Kaenda kutongoza mwingine katemwa, hasira ya kupigwa chaga alikuja kutafuta sababu akatia stiki darasa zima.

Yaani shule ilifika kipindi maticha wanapigwa mtoso hadi wakapiga mkwara hakuna Boy kukaa na msichana wakiwa wawili tu hata discussion. Mkikutwa ni utaingizwa ofisini watakuchangia stiki wote,


______________

Kimbembe huko bwenini sasa si ajabu kukuta siku ya jumatano hakuna nguo iliyoanikwa. Watu wanaanika nguo kwenye kenchi akiziangalia hadi zikauke, ukizubaa utaenda darasani na shamba dress. Inafika kipindi mtu akiambiwa avue soksi zipimishwe urefu moja ni ndefu nyingine inafika nusu ya urefu wa hiyo soksi ndefu. Kisa kuibiana soksi na shule nzima tunavaa za aina moja na rangi moja ila zina urefu tofauti.



Ukifika muda wa kulala ikizimwa taa sasa watu wanaanza kupondana mademu zao, utasikia we bwana wako ana kichwa kama jembe.


Ukienda darasani kusoma usiku hutosoma utaishia kuangalia live sex. Watu walikuwa wanagongana kama magari yaliyokosa breki, muda wa kulala madarasa ni gesti
 
Niliyoyafanya mimi sidhani kama kuna mwingine alishawahi kuyafanya

Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kugongwa muhuri kwenye t.ako na Mwalimu mkuu. [emoji23l]lllkl l [emojil125] [l]km [emojill3ll77] llllllpl
Ll[colppor=red]Jamii Fo[/lllklifmmll][colollr=yellow]rums mpllllllkmlklmlllor=green]bile /QUOlllklkllklll
Po Oll lllll
Loplkll illOli mpllllllkmlll
Kuchelewa skonga afu kujificha kwenye mahindi, sjawah fanya morning speech always at toilet

Niliwahi kugongwa muhuri kwenye t.ako na Mwalimu mkuu.

Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka tukiwa form Two ndo kwanza tunaanza kufahamu michepuo ya masomo

Kikundi chetu cha wavulana tisa tukawa tunajipambanua kwamba sisi ni Science na wengine nao wakawa wapenda masomo ya arts
Basi bana siku moja mwalimu wa English kaingia anafundisha baadae akatoa quiz

Rafiki yangu mmoja wakati mwalimu anapita kila kiti kusahihisha alivyofika kwake akakuta jamaa yangu amechemka karibu maswali yote teacher aka mind na akaamua kumtandika fimbo za mkononi tatu!!!

Jamaa yangu akapandwa na hasira na maumivu ya viboko akajikuta amesusa na kuamua kutoka nje

Mwalimu akamwambia ukindoka humu hutahudhuria tena kipindi changu!!
Unajua jamaa alimjibu nini mwalimu???
"sawa sitaingia kwani nini............. somo lenyewe english "


Wapambe wenzie tukaangua kicheko basi teacher alitumaind ile mbaya matokeo yake tuliadhibiwa wote na walimu kutuita ofisini tukala bakola za kutosha
SITASAHAU KISA KILE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom