Crazy things you did in secondary school

~Hata hizo barua unazojiandikia mwenyewe, hununui stamp hata siku moja! Stamp inafutwa muhuri na kutumika mara kadhaa! I think Shirika la Posta na Simu (jina la enzi hizo) halikupata chochote kwa barua kutoka mashuleni!
Mchezo mtamu saaana huuu wa kufuta muhuri kwenye stamp
 
Nilisoma kibiti sekondari nakumbuka mwalimu mmoja alikuwa anaitwa mtaf.. Alikuwa jumamos anaatuasha kwa kiboko saa kumi na moja asubuh. Anawakimbiza wadada wanatoka bafuni uchi ye anaenjoy sana....siku moja akaingia bweni la wanaume a level akachokozana na mshkaj mmoja hivi tulizoea kumwita danny wait.jamaa akamgonga ngumi za kutosha mwalim. Yule mwalimu alirudi nje ameiva akasema leo shule nzima mmechelewa ni viboko tu. Akaomba msaada kwa walimu wenzie waje wampe tafu. Nakumbuka wengine a level waligoma.

Jamaa wait alikuwa mhuni flan hivi ila mpole na mkimya sana na mwenzie blaki. Ile issue sijui ilikuaje hakufukuzwa shule akapewa adhab ya kukwatua kwenye jenereta na mkuu alikuwa wajimila ...
 
~Hata hizo barua unazojiandikia mwenyewe, hununui stamp hata siku moja! Stamp inafutwa muhuri na kutumika mara kadhaa! I think Shirika la Posta na Simu (jina la enzi hizo) halikupata chochote kwa barua kutoka mashuleni!
Ndio maana mnatutesa sasa kumbe ufisadi mlijifunza mapema
 
Daah kitambo sana nimekumbuka. Nina mengi mnoo kwa Leo ntalisema moja, kesho lingine.

Nikiwa darasa la tano niliweka upupu kwenye baadhi ya madawati ya wasichana waliokuwa wanaringa. Wakati naweka upupu wenzangu walikuwa mstarini, Mimi sikwenda mstarini.

Walipokaa waliwashwa walianza kujikuna hadi wanafunua nguo.
Mwalimu mkuu akapitisha karatas mademu waandike majina ya wavulana watukutu. Ee bwana tulikuwa kumi tulioandikwa tulipigwa sitasahau
 
.kwa maisha ya advance pale Tosa boys duh aibu
1.nimepiga mswaki kwa kutumia chai maana asubuh baridi maji baridi hayafai

2.kwa miaka miwili nimekaa shule miezi minne tu ,siku zingine zote niko home maana hata ukitoroka hujulikani hakuna class attendance ni uandikwe tu kwenye roll call

3.ukichoka kwenda class unaacha mlango wazi kisha kitandani unaweka chandarua nusu kionekane kama mtu kaamka,unalala upande wenye chandarua hata ticha aje ashtukii

4.unakwangua waya wa umeme wa taa kisha unapitisha viwaya vyembamba ambavyo havionekani ukutani mpaka kitandani ,unachajia simu na kusikilizia redio

5.tv ya chuo inabidi itizamwe na wanafunzi wote kama elf na 200 ,aliewahi anaweka godoro chini ya meza ya tv ndie anatazama kwa raha

6.ada ikitumwa tu imeliwa ,italipwa ikipatikana kkkkkkk.
 
c165b05b346467c67ac537a5ba59adea.jpg

Foleni ya msosi tosa boys ,bila kua mbabe lazima hii foleni ikuhusu ,mazingira mengine yalitulazimu tuwe wakorofi maana hakukua na namna
 
hiyo ilikuwa 2004 pale mwenge sec sgd,walikuwepo maticha enzi hizo m1anajiita mwana wa adam,donge,horse power mayombo,muna,siku za disco ilikuwa ni shiddah madem zetu na wao walikua wanawamendea so baada ya debe wakiwanasa mmekumbatiana pondini kazi mnayo,sitaki kukumbuka maiko barantanda walivyokuwa wanamuhenyesha.

Duuh umenikumbusha donge,mayombo,muna daah acha tu Mayombo nilimsumbua mpk akawa best yangu
 
Mimi nakumbuka mengi ila kubwa zaidi ni mimi na wanafunzi wenzangu niliokuua nasoma nao Azania Sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2008 kwenda chuo cha DIT kupanga foleni ya chakula cha bure.

Pia nakumbuka wakati nipo kidato cha nne mwaka 2005 katika shule ya sekondari ya Bismarck iliyopo katika jiji la Mwanza nilikua na tabia ya kutoroka boarding na mwalim akinikamata namponyoka na kumtangulia kufika shule bila ya ushahidi wa kunishika...:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
Back
Top Bottom