CRANE toka nje, itakuwa inaweza kubeba tani 26 na inaizidi vipi CRANE XCMG 56000 KG yenye kuweza kubeba tani 90?

2_power_hydro.jpg

Mradi unapaswa kuwa na crane kama hii.
 
Nimegundua ujinga ni hatari sana.
Mleta uzi pamoja na wale wanaokuunga mkono,pata muda wa kutembelea mradi mmoja wapo wa kuzalisha umeme kwa njia ya maji.Utajua ni crane ya namna gani inazungumziwa ili utofautishe na hizo unazozifahamu wewe.

Kumbe ndiyo maana Mungu huwainua wanyenyekevu.Huyu mtu wa Mungu anatukanwa bure kwa sababu ya watu wasiojua wakisemacho
Halafu ya kukodi, si ndio?
 
Pro Makamba ama ndiye Makamba mwenyewe uliyevaa id fake!

Unapokanusha ama kutetea jambo, lijengee hoja ya kinantiki kulifafanua hadi lieleweke ili kuwa na mashiko ya hoja yako.

Sasa hii ya kusema aende kuangalia kwenye miradi, wakati tayari katoa mantiki ya kitakwimu juu ya uwezo wa hayo ma crane, unakuwa unamaanisha nini?

Ilitakiwa ufafanue kwanini zikodishwe crane zenye uwezo mdogo wakati zenye uwezo mkubwa zipo kama alivyoeleza mwandishi.

Ni ngumu sana kuweka siasa kwa hoja za kitaalamu kama hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa umekata nondo kuanzia uzi wenyewe tu umeshiba! Watanzania kama nyinyi mpo wachache sana! We subiri utasimangwa humu wakati ulichokindika kinamshiko sana!
 
Nimegundua ujinga ni hatari sana.
Mleta uzi pamoja na wale wanaokuunga mkono,pata muda wa kutembelea mradi mmoja wapo wa kuzalisha umeme kwa njia ya maji.Utajua ni crane ya namna gani inazungumziwa ili utofautishe na hizo unazozifahamu wewe.

Kumbe ndiyo maana Mungu huwainua wanyenyekevu.Huyu mtu wa Mungu anatukanwa bure kwa sababu ya watu wasiojua wakisemacho
Tupe facts sasa, unatulaumu bure! Inawezekana unachosema ni sawa fafanuwa tutaelewa tu!
 
Tunakwisha hivihivi.
Naandaa majeneza kaanani jamani
Bei ya kirafiki tu.
Magu mwenyeji wetu huko.
Ashachimba barabara,maikulu yashajengwa na nyumba zetu zisharatibiwa tukafikie mji mpya.
 
Back
Top Bottom