CPJ: Wanahabari wasiopungua 28 wanashikiliwa na polisi katika maandamano yanayoendelea dhidi ya serikali ya Iran

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
617
1,799
Hadi kufikia Alhamisi Septemba 29, 2022, Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) limerekodi kukamatwa kwa waandishi wa habari wasiopungua 28 nchini Iran wakati wa maandamano ya nchi nzima kupinga kifo cha Mahsa Amini.

Mapema wiki hii, CPJ ilitoa wito kwa mamlaka za Iran kusitisha ukandamizaji huo dhidi ya waandishi wa habari na kuwaachilia huru wale wote waliokamatwa kwa kuripoti maandamano hayo.

CPJ pia imetoa wito kwa serikali ya Iran kurejesha huduma ya intaneti nchini humo.

Maandamano yameenea kote nchini Iran tangu kifo cha mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 22 ambaye aliwekwa kizuizini na polisi kwa madai ya kuvunja sheria kali za hijabu.

====


RTSBCCIT(1).jpg

As of Thursday, CPJ has documented the arrests of at least 28 journalists in Iran during nationwide protests over the September 16 death in custody of 22-year old Mahsa Amini.

Earlier in the week, CPJ called on Iranian authorities to end their crackdown on journalists and release all those arrested for covering the protests. CPJ has also called for the Iranian government to restore internet access in the country.

In a feature published Thursday, CPJ senior researcher Yeganeh Rezaian, who spent 72 days in solitary confinement while an accredited journalist in Iran in 2014, discusses the implications of the latest developments in the country.

The environment is “very stifling,” Rezaian says, “but female journalists, like other women in society, have been undeterred by the threats of reprisal from authorities. It’s one of the reasons that this moment feels different.” Read the full Q&A on CPJ’s website.

Watch and share CPJ’s video about the unfolding situation in the country, and find the latest arrest numbers on CPJ’s homepage.

Source: CPJ
 
Pumbaf ,vibaraka WA US halafu wanasema death to America na kufanya vitendo vya kigaidi dhidivya raia WA US na hata kuishambulia US yenyewe kama Alqaida walivyofanya 9/11 ?
Logic ya kipumbav ya wanywa gongo
Usifoke maana hata huo mpango wa kulipua American ulipangwa ili kuidhinisha uvamizi kwenye nchi za kiarabu na kuchafua dini Ila Uislam hauwezi kutoweka kwenye hii Dunia hivyo punguza kukurupuka
 
Back
Top Bottom