CPJ: Wanahabari wasiopungua 28 wanashikiliwa na polisi katika maandamano yanayoendelea dhidi ya serikali ya Iran

Sasa wewe na Muslim mnautofauti gani maana hata Leo nchi za kiafrika zinatambua kuwa watu wetu ni wadumavu wa akili
Hilo ni nje ya maada. Ukweli hawa ndugu zetu ni wachache sana wanaoweza kupambanua mambo.
 
Pumbaf ,vibaraka WA US halafu wanasema death to America na kufanya vitendo vya kigaidi dhidivya raia WA US na hata kuishambulia US yenyewe kama Alqaida walivyofanya 9/11 ?
Logic ya kipumbav ya wanywa gongo
Usilolijua kwenye ujasusi unaeza kumuua hata mzazi wako ili lengo flani litimie,
Unajua vita ya congo us anahusika? Kamuulize kagame atakujibu

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom