SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,903
I started doing my own taxes back in the early 2000s. TurboTax baby.
Nilijaribu kuwashawishi baadhi ya washikaji lakini wapi! Wao kimbilio lao lilikuwa H&R Block!!!
Mtu ana W-2 tu halafu yupo single lakini anaogopa ku file mwenyewe.
Even when I stopped working a 9-5 and became an independent contractor bado na file mwenyewe tu.
Tena siku hizi filing software zipo nyingi tu na zingine ni za bure kabisa [mfano Credit Karma].
Ila nina rafiki yangu yeye ikifika Januari hadi April huwa anazichanga dolari.
Ana prepare taxes za watu hususan the immigrant community.
He makes six figures in a space of four to five months!
Hapo ndo unaona kuwa uoga na ujinga wa wengine huwa ni neema kwa mwingine.
Msomali wa Decatur huyo