Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
now days CPA ni kama nyanya zimekua nyingi, kibaya kuna madogo Frashers below 24 Yrs wanazitungua vibaya now days!
Zamani ilikuwa kwa kila mwaka wanaweza kuwa wahitimu 50 tu huku ajira zikiwa bwerere na cpa bado inakuwa na heshima yake kutokana na uchache wa wenye cpa.
Kwa hali ya sasa nakumbuka mwaka jana ni takribani wahitimu 800 walihitimu cpa ila hali ya soko la ajira haikuwa nzuri.
Kwa hali hii ina maanisha ya kwamba cpa imeanza kuchuja na wala sio kitu cha kushangaza sana mtu kuhitimu,
Karibu kila mkoa sasa una review classes za cpa, ni fashion sasa wanafunzi wanaomaliza degree zao kuunganisha moja kwa moja cpa.