CPA(T) 800 kuhitimu kila mwaka, ajira chache, kuhitimu CPA sio ishu tena

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
now days CPA ni kama nyanya zimekua nyingi, kibaya kuna madogo Frashers below 24 Yrs wanazitungua vibaya now days!

Zamani ilikuwa kwa kila mwaka wanaweza kuwa wahitimu 50 tu huku ajira zikiwa bwerere na cpa bado inakuwa na heshima yake kutokana na uchache wa wenye cpa.

Kwa hali ya sasa nakumbuka mwaka jana ni takribani wahitimu 800 walihitimu cpa ila hali ya soko la ajira haikuwa nzuri.

Kwa hali hii ina maanisha ya kwamba cpa imeanza kuchuja na wala sio kitu cha kushangaza sana mtu kuhitimu,

Karibu kila mkoa sasa una review classes za cpa, ni fashion sasa wanafunzi wanaomaliza degree zao kuunganisha moja kwa moja cpa.
 
Wache wake,
Watamkuta BABA JESCA amechili, akiwatizama tu,.....!
Wadahili wenyewe ndio hao makatibu wakuu wa.....!

ACHA TUJENGEWE STIGLAZ, STANDARD GEJI,

hizo CPA ni makalatasi tu......! SIO KAMA RELI TUTA PANDA NA UMEME TUPATE NURU!

big up baba j
 
Wajiajiri.
Kama watu waliosomea uchumi wanashindwa kujiajiri ,wanategemea nani ajiajiri??

Nafikiri wakikaa miaka 10 bila ajira wataamua kuwa mfano wa kujiajiri mana ukikuta mwalimu wa Entrepreneurship anavyoeleza namna ya kuandika Proposal utajua ukitoka ni kuandika tu na kupata pesa ya kuanzisha kiwanda hata cha kuzalisha asali kwa maana ya mizinga ya nyuki.
 
Bila shaka we utakua ni mwoga wa kuisoma tu hiyo CPA, na unawavunja moyo wengine ili muwe wengi. Mahitaji ya iyo kitu ni makubwa sana kuliko ata unavyozani. na CPA siyo cheti tu, bali ni ujuzi maarifa na utashi wa kimahesabu ya kibiashara unaoupata baada ya kuimaliza hiyo CPA.

umeona leo mkutano wa Rais na wafanyabiashara leo? Wengi wanalalamika kuwa wanapewa tax assessment kubwa kuliko uharisia wa biashara zao? ila hayo mahesabu yangefanywa na wahasibu wenye CPA na waliokomaa sidhani kama wangesumbuliwa na maafisa wa kodi.
(NB: ni kama polisi wanavyoogopa kuwazingua wanasheria kiboya mitahani)
 
Back
Top Bottom