Cpa syllabus!!

Ile inaanza kutumika May mwakani?
Au current walioifanyia mitihani November hii??
 
Shark,tafadhali una syllabus ambayo itatumika mwakani? au kama kuna vitu unajuwa vitabadilika naomba unisaidie,natarajia kufanya module E
 
Shark,tafadhali una syllabus ambayo itatumika mwakani? au kama kuna vitu unajuwa vitabadilika naomba unisaidie,natarajia kufanya module E
Ile sina kaka,
But kama ukienda pale NBAA, mhasibu house watakusaidia mkuu kama uko DSM
 
Back
Top Bottom