johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 92,380
- 160,927
Ni mategemeo ya Wengi kuwa sasa UWT itakuwa ya kisasa zaidi kama walivyo BAWACHA
Kiukweli hii UWT ya Chatanda haina tofauti na ile ya mama Sophia Kawawa rip yaani iko kizamani sana na ni Imani ya Wengi msomi Jokate anakwenda kuleta mabadiliko makubwa sana
Ikumbukwe Jokate baada ya kumaliza digrii yake ya Sheria pale UDSM chuo kilimtaka abakie pale kama Mwalimu lakini alikataa akitamani kuitumikia Jamii zaidi
Enendeni Ulimwenguni Kote 😀