CP Salum Hamduni usibadilike, komesha uonevu na dhuluma kupitia PCCB

May 24, 2021
8
25
Habari za muda huu usomapo uzi huu!

Uko msemo wa kiafrika (Africa ya kati) kuwa "katika janga kuna Kuna mwokozi" na katika ubaya kuna mpambanaji.

CP Hamduni usibadilike. Linda nafsi yako, mkumbuke Mwenyezi Mungu wako, tenda haki. Komesha uonevu, dhuluma.

Sio wote watapewa haki na cheo Kama wewe. Mwakani jiandae uende hija ukiwa umeweka mambo sawa. Tetea wenye kuonewa. Lipia haki zilizodhulumiwa.

Umeinuliwa mahali pa juu, tenda, timiza, tunakuombea. Ameen
 
Siku hizi Cdm hamtaki sheria ifate mkondo wake mnabembeleza mambo kufanyika kwa utashi wa mtu mara ooh ikikupendeza mama kamata yule, mara kamanda Hamduni unatufurahisha. Mara sijui nini

Hii nchi watu hawapo serious kabisa, yani mambo ya katiba, time sijui haki za binadamu tupa kuleeee wapinzani nao wanaenda na upepo, leo wanakuunga mkono kesho wakiona maslahi duni wanageuka ktk story za katiba.

Naskitika sana hata sasa baadhi ya matukio viongozi wa upinzani na chama tawala wana hawataki kuhubiri haki wanataka tu kukomoa.

Nchi hii itachezewa sanaaaa
 
Wewe lia tu Ila kama wewe ni kapuku utaumia tu.

Sasa hivi wenye pesa na wenye madaraka yao wanakula Maisha.

Unaemtaja hana hata kinga hawezi furukuta.
 
Kumkamata aliyekuwa DC sio kigezo kwamba anachapa kazi. Mimi nataka kuona siku moja akimpeleka mahakamani Rais au Makamu wa Rais au Waziri Mkuu au Waziri aliye madarakani. Hapo ndio nitajua anachapa kazi na muadilifu. Zaidi ya hapo hatakuwa tofauti na Anatory Kamazima na Edward Hosea!
 
Nyota njema huonekana asbh
 
Kwa yule jamaa wote waliojihusisha na 'kazi maalum' watafurahishwa. Na hapo yupo PCCB tu, sijui angekua IGP.

Wahalifu wote wakumbuke wosia wa IGP Sirro, aliwaambia "jinai haifi", unaweza kufanya jinai leo ukadhani rais atakulinda milele lakini utakua unajidanganya.
 
Siku hizi Cdm hamtaki sheria ifate mkondo wake mnabembeleza mambo kufanyika kwa utashi wa mtu mara ooh ikikupendeza mama kamata yule, mara kamanda Hamduni unatufurahisha. Mara sijui nini

Hii nchi watu hawapo serious kabisa, yani mambo ya katiba, time sijui haki za binadamu tupa kuleeee wapinzani nao wanaenda na upepo, leo wanakuunga mkono kesho wakiona maslahi duni wanageuka ktk story za katiba.

Naskitika sana hata sasa baadhi ya matukio viongozi wa upinzani na chama tawala wana hawataki kuhubiri haki wanataka tu kukomoa.

Nchi hii itachezewa sanaaaa
Tamko la kiongozi wa chadema kutetea hayo unayoyasema Kiko wapi?
 
Jambo la msingi viongozi wetu wote wawe wa serikali au vyama vya siasa watendee haki...wasionee watu Wala kubambikiza watu kesi
 
Dhuluma zilikuwa zimetalamaki kwa kisingizio cha kujenga Nchi

Mimi bado naendelea kumpongeza Raisi Samia Suluhu Hassan na timu yake kwa kurudisha Utawala wa Sheria na Huruma kwa Watanzania wa Matabaka yote

Sasa kazi iliyobakia ni kuwasaka wote waliotumia Mamlaka na vyeo vyao kupora na kujitajirisha.

mybusiness.png
 
Habari za muda huu usomapo uzi huu!

Uko msemo wa kiafrika (Africa ya kati) kuwa "katika janga kuna Kuna mwokozi" na katika ubaya kuna mpambanaji.

CP Hamduni usibadilike. Linda nafsi yako, mkumbuke Mwenyezi Mungu wako, tenda haki. Komesha uonevu, dhuluma.

Sio wote watapewa haki na cheo Kama wewe. Mwakani jiandae uende hija ukiwa umeweka mambo sawa. Tetea wenye kuonewa. Lipia haki zilizodhulumiwa.

Umeinuliwa mahali pa juu, tenda, timiza, tunakuombea. Ameen
CP Hamduni wewe ni mchapakazi tangu ukiwa kamanda Ilala.Ila nakuomba uongozi wa PCCB Mwanza ufumuliwe,sina imani nao, taarifa ya kufanyiwa kazi mwezi mmoja inafanywa zaidi ya miezi mitatu pamoja na ushahidi wa kutosha kupewa.
 
Back
Top Bottom