CP Hamduni Salum imulike Tanga inanuka rushwa,TAKUKURU wamekuwa mawakala wa wahalifu

Sasa
Kanuni ya jamii forum Ni speak openly, na ambacho ungeIngatia(kwa maoni yangu) ungetoa ushuhuda wa moja kwa moja not general, kwamba ulikuwa mhanga au mtu wako wa karibu, ukamtaja aliehusika na hlo Jambo hyo wa takukuru, then ukawasaidia watakofuatilia sos ya taarifa yako, ili wanapoanza wajue wanaanzia wapi,

Habar Kama hzi za idara nyeti huja na unyeti wake, mfano nikitoa taarifa kwa nlipo(geita) naeleza imenitokea/ au mtu wa karbu, natoa taarifa hata nliempatia taarifa(mkurugenzi wa takukuru) naenda mbali mpka police, baada ya ushahidi na utable hum Sasa, wajib wangu unakuwa umeisha... So utawasaidia wanaofuatilia kujua pakuazia kuliko kuwapa kazi tena...

Anyway Ni maoni. Yangu..
Wakirudi utamsaidia?
 
Back
Top Bottom