Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,001
- 9,866
Wabunge na wahudumu wa bunge waliopatikana na corona wameshauriwa kujitengaImage caption: Wabunge na wahudumu wa bunge waliopatikana na corona wameshauriwa kujitenga
Taarifa iliyotolewa na Bunge inasemabunge hilo litafungwa kuanzia wiki ijayo tarehe 28 Juni , Jumapili hadi tarehe 11 Julai ili kusafisha majengo ya bunge.
Mkurugenzi wa mawasilianona masuala ya umma katika bunge hilo, Chris Obore anasema uamuzi ulichukuliwa ili kuzuia jingo hilo kuwa kitovu cha maambukizi kwasababu ya idadi kubwa ya watu wanaolitembelea.
Bunge la sasa la Uganda lina jumla ya wabunge 529 , ukiondoa wahudumuwa bunge, maafisa wa usalama, waandishi wa habari, na watoaji wa huduma mbalimbali.
Taasisi hiyo ilikuwa na matukio muhimu makuutangu mwezi Mei miongoni mwake ikiwa ni kusomwa kwa bajeti, na Hotubaya hali ya taifaambayo hutolewa na rais.
Mamia ambao walihudhuria matukio hayo wametakiwa kufanya vipimo vya corona. Waliopatikana na maambukizi wametakiwa kujitenga wenyewe.
Takriban watu 180 walipatikana na maambukizi ya corona kabla ya matukio haya mawili tofauti . 14 kati yao walikuwa ni wabunge na 10 walikuwa ni wafanyakazi wa bunge