#COVID19 COVID-19 Wimbi la tatu: DR Congo yadhibiti mikusanyiko ya umma, club zafungwa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo itadhibiti mikusanyiko ya Umma kufikia watu 20 na kufunga klabu za usiku wakati Taifa hilo linakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizi ya Virusi vya Corona.

Kwa mujibu wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Afrika, DR Congo imerekodi visa zaidi ya 35,000 na vifo 834. Mapema mwezi huu Shirika la Afya lilionya kuhusu ongezeko la maambukizi Nchini humo.
===

The Democratic Republic of Congo will limit public gatherings to 20 people and close nightclubs as the country grapples with a third wave of COVID-19, President Felix Tshisekedi said on Tuesday.

Congo has officially registered relatively few cases, but low vaccination rates have left the country vulnerable to more contagious strains, including the highly-infectious Delta variant.

"For several weeks we have seen a persistent rise in the number of people infected," Tshisekedi said in a televised address. "We need to react with speed, and above all, methodically."

Last week, Tshisekedi told reporters that hospitals in the capital Kinshasa had been "overwhelmed" by the rising infections.

Congo has registered more than 35,000 infections and 834 deaths, according to figures from the Africa Centre for Disease Control. The World Health Organization said on June 2 that COVID-19 cases in Congo were rising exponentially.

Source: Reuters
 
Back
Top Bottom