#COVID19 COVID-19: Vifo Nchini India vyafikia 400,000

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,267
2,000
Wakati jitihada za kuongeza kasi ya Chanjo zikiendelea Nchini humo, idadi ya vifo kutokana na janga la Virusi vya Corona imepita 400,000 huku Wataalamu wakionya namba halisi inaweza kuwa kubwa zaidi kwasababu vifo vingi havijarekodiwa rasmi.

Hivi karibuni, maambukizi mapya India yamepungua kufikia 40,000 kutoka visa 400,000 vilivyokuwa vinarekodiwa mwezi Mei na Majimbo kuweka Lockdown imetajwa kuwa sababu ya idadi kushuka.

====

India's official death toll from the coronavirus reached 400,000 on Friday, though experts say the actual number of dead could have reached one million or even higher, with a possible third wave approaching.

India added 100,000 deaths in 39 days, a Reuters tally showed, as a brutal second wave of infections swept across cities and into the vast countryside where millions remain vulnerable without a single shot of vaccine.

Overnight, the country recorded 853 deaths, taking the toll past the 400,000 mark, health ministry data showed.

India's death toll is the third-highest globally.

"Undercounting of deaths is something that has happened across states, mostly because of lags in the system, so that means we will never have a true idea of how many people we lost in this second wave," said Rijo M John, a professor at the Rajagiri College of Social Sciences in the southern city of Kochi.

While still elevated, the number of new infections has eased to two-month lows since hitting a peak of 400,000 a day in May.

The government has shifted its focus to mass immunisations amid warnings from disease experts of a looming third wave as the country slowly re-opens and a new variant, locally called the Delta Plus, emerges.

Prime Minister Narendra Modi's government began a nationwide campaign last week to inoculate all of the country's adults for free, and aims to reach 950 million people by the end of the year.

But, the pace of vaccinations has floundered, official data showed.

India administered an average of 3.5 million doses a day this week, as against 6.6 million doses last week.

Experts have attributed the peak of 9 million doses on June 21 to states stockpiling for a burst of inoculations to fire up Modi's campaign.

Just 6% of all eligible adults in the country were inoculated with the two mandatory doses, official data from the government's Co-Win portal showed.

STAMPEDES

In two of the country's biggest states governed by Modi's Bharatiya Janata Party, police were ordered in to control large crowds outside some vaccination centres, as panic spread over shortages of doses.

In Modi's home state of Gujarat, several vaccination centres shut down in Ahmedabad, the main industrial city.

In Madhya Pradesh, governed by Modi's Bharatiya Janata Party, the pace of vaccinations fell over 40%. In one district, police were called in to control a stampede that broke out after crowds broke through a shuttered gate at a local vaccination camp, NDTV news channel reported.

In India's financial capital of Mumbai, vaccination centres were only open for three hours on Friday and the number of doses available was limited, the city's civic body said.

India has recorded 30.45 million cases of COVID-19 since the outbreak of the pandemic last year, and is the second-most affected country behind the United States, which has 33 million cases.

The United States has over 604,000 deaths, while about 518,000 people have died in Brazil.

Source: Reuters
 

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,778
2,000
Kwa nchi ya watu billion 1 point..... 400,000 are peanuts!! Sijui kwanini watu hawaangalii proportional ya population na waliougua. Hii inafanya tatizo lionekane kubwa kuliko uhalidia.

Cha kushangaza kwenye chanjo wameonyesha asilimia (6%) ila vifo wametaja namba bila asilimia.
 

UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
12,875
2,000
Kwa nchi ya watu billion 1 point..... 400,000 are peanuts!! Sijui kwanini watu hawaangalii proportional ya population na waliougua. Hii inafanya tatizo lionekane kubwa kuliko uhalidia...
Sasa hapo mkuu unamlaumu nani? maana hivyo ndivyo corona inavyopambwa na kuonekana tishio na wengine tukiongea tunaonekana tunapingana na wataalamu.

Na hapo hata haziangaliwi takwimu za vifo zilikuaje before corona.
 

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,778
2,000
Sasa hapo mkuu unamlaumu nani? maana hivyo ndivyo corona inavyopambwa na kuonekana tishio na wengine tukiongea tunaonekana tunapingana na wataalamu.

Na hapo hata haziangaliwi takwimu za vifo zilikuaje before corona.
Nalaumu wabongo mnaoleta taarifa hizo mnachagua source za kishabiki. Kma ni taarifa ya india kwanini msilete taarifa za NDTV? mnaleta western tabloids kuzungumzia Far East?

The thing is corona imeua India kma tu Uk au spain or Italy tofauti ni population difference tu
 

UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
12,875
2,000
Nalaumu wabongo mnaoleta taarifa hizo mnachagua source za kishabiki. Kma ni taarifa ya india kwanini msilete taarifa za NDTV? mnaleta western tabloids kuzungumzia Far East?

The thing is corona imeua India kma tu Uk au spain or Italy tofauti ni population difference tu
Hata huko Italy Spain na kwengineko mambo ni hayo hayo tu ndio maana nikakuuliza unamlaumu nani maana toka mwanzo huu ugonjwa hivyo ndio unavyotangazwa ndio maana watu wanatishika.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom