#COVID19 COVID-19: US delivers 4m doses Moderna vaccines to Nigeria

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,213
24,076
August 3, 2021
Abuja, Nigeria

The U.S Mission to Nigeria has stated that the 4,000, 080 Moderna vaccines doses donated to Nigeria was part of President Joe Biden’s commitment to combat the global COVID-19 pandemic.

Ms Kathleen FitzGibbon, Deputy Chief of Mission, US Embassy, said this at the official handover of the vaccines at the national briefing of the Presidential Steering Committee (PSC) on COVID-19 on Monday, in Abuja.

The News Agency Of Nigeria (NAN) reports that the 4,000,080 Moderna doses, which arrived on two flights on Sunday, at about 2:15 am of Aug 1, 2021, were received by UNICEF officials on behalf of Nigeria at the Nnamdi Azikiwe International Airport, Abuja.

The delivery was the second batch of vaccines to arrive Nigeria after four million doses were earlier delivered in March, under the COVAX vaccine sharing facility.

COVAX was set up to ensure the equitable distribution of vaccines, particularly to low-income countries, and has already delivered more than 80 million doses to 129 territories.

Nigeria has since exhausted the four million doses of the AstraZeneca vaccine received to kick-off her nationwide inoculation programme.

The Moderna vaccine received on Sunday is the mRNA type of vaccine manufactured and developed by Moderna NIAID. Two shots of the vaccine are administered through intramuscular injection, 28 days apart.

Listed for emergency use by the World Health Organisation (WHO) and approved by the National Agency for Food and Drug Administration and Control (NAFDAC), Modena vaccine is deemed safe and effective, based on data from large-scale clinical trials.

FitzGibbon disclosed that the United States, through COVAX and bilateral donations, was delivering millions of safe and effective COVID-19 vaccine doses to its partners, friends, and allies around the world.


She noted that the it worked with international partners to donate COVID-19 vaccines to the world to end the pandemic.

“America’s support for the global fight against COVID-19 includes: donating 80 million vaccine doses from its supplies to other countries and purchasing 500 million vaccine doses to donate to nearly 100 developing countries.

“Contributing $2 billion to COVAX, the global initiative to equitably distribute safe and effective COVID-19 vaccines worldwide.


“Delivering essential medicines, supplies and therapeutics, as well as other assistance to help countries rebuild economies, overcome food shortages and strengthen health security.

“The United States will be the world’s arsenal of vaccines in our shared fight against this virus, President Biden said in a June 3 statement.

“We will continue to do all we can to build a world that is safer and more secure against the threat of infectious disease”, FitzGibbon explained.


She noted that in August, the 500 million doses of the Pfizer vaccine that President Biden committed just before the G7, would also start moving and a significant portion of those will be deployed to Africa.

NAN reports that the US government has begun the process of delivering 25 million doses, as quickly as possible, working closely with the African Union, governments, and COVAX.
Source : COVID-19: US delivers 4m doses Moderna vaccines to Nigeria to combat pandemic –Embassy
 
Wengine wanapewa Pfizer na Moderna, sisi mbona tunaletewa haya yenye utata ma Johnson na Astrazeneca? But again, ombaomba hana haki na cha kupewa hakilalamikiwi
No!Serikali haina nia njema.Kuna ujinga au kusudi wamefanya ndiyo maana sisi tukaletewa johnson.Kuna chanjo kibao nzuri sana kama hiyo moderna,BioNtech,Sputnik,Sinopharm,Sinovac na kadhalika lakini serikali ikakimbilia chanjo la hovyo,kuna namna!
 
Nchi yenye watu milioni 200 umawapelekea dozi milioni 4 za chanjo isiyofanya kazi, hivi waAfrika tunatumia makalio kufikiri au?!
 
No!Serikali haina nia njema.Kuna ujinga au kusudi wamefanya ndiyo maana sisi tukaletewa johnson.Kuna chanjo kibao nzuri sana kama hiyo moderna,BioNtech,Sputnik,Sinopharm,Sinovac na kadhalika lakini serikali ikakimbilia chanjo la hovyo,kuna namna!
We ulitegemea nini kama Jakaya alionekana akiwa na Bill Gates siku chache kabla ya mzigo kuingizwa!
 
No!Serikali haina nia njema.Kuna ujinga au kusudi wamefanya ndiyo maana sisi tukaletewa johnson.Kuna chanjo kibao nzuri sana kama hiyo moderna,BioNtech,Sputnik,Sinopharm,Sinovac na kadhalika lakini serikali ikakimbilia chanjo la hovyo,kuna namna!
Ni kwanini mnaziita chanjo wakati hazifanyi kazi inayopaswa na chanjo?
 
Sasa ni kipi bora kati ya kuchanja watu 100 halafu 50 wapone na hamsini wafe na kuacha kabisa kuchanja wote 100 halafu uwezekano wa wote kufa uwe upo?
Ukichanjwa unapona au haupati ugonjwa? Uwezekano wa kufa upo pale pale kinachotofautiana ni uharaka wa kufa
 
Ukichanjwa unapona au haupati ugonjwa? Uwezekano wa kufa upo pale pale kinachotofautiana ni uharaka wa kufa
Nimekosea katika kuandika ila mantic yangu ilikuwa katika 100 waliochanjwa basi 50 wasiambukizwe corona au wakiambukizwa wapone kirahisi vs wote 100 ambayo hawajachanjwa waambukizwe Corona au wakiugua washindwe kupona kirahisi na probability ya wote 100 kufa iwe juu pia.Sasa kati ya hivi viwili ni kipi bora?
 
No!Serikali haina nia njema.Kuna ujinga au kusudi wamefanya ndiyo maana sisi tukaletewa johnson.Kuna chanjo kibao nzuri sana kama hiyo moderna,BioNtech,Sputnik,Sinopharm,Sinovac na kadhalika lakini serikali ikakimbilia chanjo la hovyo,kuna namna!
Ila zote si ni salama na WHO wanazitambua?
 
Wengine wanapewa Pfizer na Moderna, sisi mbona tunaletewa haya yenye utata ma Johnson na Astrazeneca? But again, ombaomba hana haki na cha kupewa hakilalamikiwi
Sasa mkuu hizo pfizer na moderna kwa afrika ni mtihani mkubwa sana kwenye utunzaji wake, wewe ubaridi wa -70!!! Kuzifikisha huko vijijini utaweza??!halafu kwa Afrika hizo chanjo za kurudia baada ya siku 14, 21, ni mtihani mwingine tena!!kwani UGanda, iliwatokea walipata dose ya kwanza ya astrazeneca, kutoka india, ilipokaribia ili warudie kuchanjwa dose ya pili , india wakakumbwa na wimbi la pili balaa, wakakataa dawa zisitoke nje ya india!!huku waliokuwa wanasubilia dose ya pili muda ukapita, sijui kama hadi leo, walishachanjwa!!Mataifa yenye pesa ndio yanaenda kwa utaratibu mzuri kwani yanaamua tutumie dawa gani, lakini hizi nchi zetu, ni dawa inayopatikana kwa wakati huo twende kazi!!wapelekee!!
Haya zamu hii umepata moderna, unaenda dose ya pili haipo hiyo kuna astrazeneca, itakuwaje??Ki ukweli kazi ipo na hao wataalam hasa wa ki bongo ndio wanazidi kuwakoroga watu kabisa!!huyu atasema dose zinaweza changanywa, mwingine anasema hapa hairuhusiwi!!mwingine mama wajawazito sio lazima kuchanjwa, yule tena ohhh, ni lazima kwani ndio kundi lililo kwenye risk kubwa!!MBONA KAZI IPO.
 
Ila zote si ni salama na WHO wanazitambua?
Wabongo utawaweza ndugu!!unaweza kuta huyo ni mkulima tu wa bamia lakini hayo malalamiko yake, kama yupo kwenye jopo la waidhinishaji wa hizo chanjo!!!chanjo zote ni bora kulingana na viwango vya WHO, halafu sisi nchi masikini tunasaidiwa na mpango wa COVAX, chanjo inayopatikana kwa muda huo ndio unaletewa, au beberu likiamua kukupunguzia lililonayo lenyewe , unashukuru!!!
 
Back
Top Bottom