#COVID19 COVID-19: Urusi yarekodi idadi kubwa zaidi ya vifo tangu kuanza kwa mlipuko

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Taifa hilo limerekodi vifo 697 vya COVID-19, idadi ambayo imetajwa kuwa kubwa zaidi kuripotiwa ndani ya siku moja tangu kuanza kwa mlipuko.

Aidha, Mamlaka pia zimerekodi maambukizi mapya 24,439 huku 7,446 kati ya visa hivyo vikitokea Mji Mkuu wa Moscow. Ongezeko la maambukizi limetajwa kuchochewa na Kirusi Delta.
======

Russia on Saturday reported 697 coronavirus-related deaths, the most confirmed in a single day since the pandemic began and the fifth day in a row it has set that record.

The government coronavirus taskforce also confirmed 24,439 new coronavirus cases nationwide, the most it has reported since early January. Moscow accounted for 7,446 of those cases. Officials blame the case surge on the infectious Delta variant.

Source: Reuters
 
Urusi kuna baridi sana ni kama hapa covid ikitupwa Mufindi hali lazma iwe tete😂😂😂 nafikiri kuna correlation baina ya baridi na kinga za mwili!
 
Urusi kuna baridi sana ni kama hapa covid ikitupwa Mufindi hali lazma iwe tete nafikiri kuna correlation baina ya baridi na kinga za mwili!
High temperature always enhances blood circulation (yaani, movement), cold ^dehances^ it. Na genius Einsten alishasema tayari kwamba you have to be moving to keep your stability just like riding a bicycle maintains the stability by a continued movement.

Ndiyo maana healthwise, lockdown na kukaa ndani ni awkward & unreasonable idea.
 
Back
Top Bottom