COVID-19: Two Wuhan Doctors Turn Black After Spending Weeks In ICU

Kuna sehemu nimesoma wanasema ni majribio ya dawa yameenda vibaya
Sijui ukweli uko wapi
Lakini kwa kuwa ugonjwa huu ni mpya majaribio na athari zitakuwa nyingi tu maana kila mmoja anataka awe top


Sent from my iPhone using Tapatalk

Ni kweli, bila shaka walipewa dawa ya majaribio kwa mpigo ndio maana wote ngozi za miili yao iligehuka kuwa ya rangi nyeusi.
 
Wabongo ni wapumbavu sana


Yani details xote jizo taarifa imeshina ila wanasema ni edit?
Ndio maana hata ile clip ya amana wanasema ni edit.

Ila yatawakuta tu
 
Back
Top Bottom