Covid-19 Janga Kubwa Ulaya Magharibi Na Mashariki

papaayenga

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
765
500
Maranyingi sana majanga mengi huwa yakiletwa na mikono ya binaadamu mwenyewe hii ndio utaratibu wa maisha hapa duniani kwa mfano vita ni matokeo ya baadhi ya binaadamu kutaka kutawala la binaadam wenzao pasina ridhaa yao au kundi moja kugandamiza kundi jingine.

Ukame na mafuriko kwa kiasi kikubwa huchangiwa na uharibifu wa mazingira ambayo mwanaadam aliyakuta yametaarishwa hivyo kwa ajili ya maisha ni ukweli usiopingika kuwa huu ulimwengu ulitaarishwa kwa ajili ya maisha ya mwanaadamu tu kwa asilimia kubwa na ndie kiumbe pekee anayefaidi sana na vilivyomo humu ulimwenguni kuanzia ardhi miti majani wanyama ndege wadudu samaki hewa maji madini mali yote chini ya ardhi ikiwemu mafuta. umeme n.k vyote hivyo anamiliki jinsi atakavyo na kuvitungia sheria pamoja na kua si mali yake yeye kavikuta humu duniani nawala hawezi kuunda au kitengeneza hata kimoja ktk vitu hivyo.

Bila shaka ni ukweli usiopingika kuwa nguvu hii ya mamlaka ya binaadam katika kutawala na kumiliki mzingira lazima awe ameipata toka mamlaka ya juu kabisa (superpower) na hapa ndipo panapomliki mwanaadam na kumpangia sheria lipi afanye na lipi asifanye katika fikra hii ndipo ilipo zalika imani ya kuwepo alieumba huu ulimwengu na vyote vilivyomo pamoja na yeye binaadam

Akili yenye afya inakubali uwepo wa Mwenyezi Mungu (ALLAH/ILAHI /God) hata fikra za sayansi za ujima zilizofundisha kuwa binaadamu alitokea kwa nguvu za asili (nature) hatimaye zilikubali kuwa hiyo nguvu ya asili (nature) ndio Mungu mwenyewe. Sayansi za kisasa (morden science) yenyewe inakubali kuwepo Mungu bila shaka kuwa mpangalio wa ulimwengu yupo alieumba sio bahati nasibu (coincident)

Tukirejea katika akili zilizo na afya njema zinakubali kuwepo na Mungu tunapata ufahamu kuwa mamlaka hizo za juu zilimuekea binadam sheria ya maisha ya hapa duniani na kuamrisha zitiiwe hizo sheria. Moja kati ya sheria kuu ni kumuabudu Mwenyezi Mungu histori inaonesha Mwenyezi Mungu aliwahi kufuta jamii ya wanadamu walipofanya ujeuri mkubwa kabisa wakuto muabudu akawafuta kwa mafuriko na kuazisha kizazi kipya ukisoma mafuriko ya Nabii Nuhu (the floods of Noah)

pia tunapata ushahidi mwingine pia Mwenyezi Mungu aliwahi kuwafuta watu wa nabii Luti kwa kuipundua ardhi juu chini walipo kithiri katika USHOGA (Sodoma &Gomora) na athari yake ipo mpaka leo sehemu za Palestina na akaanzisha kizazi kipya.

Leotunashuhudia Makongamano na sherehe maandamano ya USHOGA yalivyo kithiri bila aibu wala woga Ulaya Magharibi ikiongozwa na ITALIA SPAIN AMERIKA tena serikali zao zikitia shinikizo kuwa nchi isio waunga mkono ktk ushoga haita pata msaada kutoka kwao

Katika hali kama hii MwenyeziMungu hatopindua ardhi kama kwa Luti lakini watatketezwa kwa maradhi ya maabukizo kama alivyo fudisha Mtume Muhammad(s.a.w) tunashuhudia hivi sasa ndio nchi zinazoongoza kwa vifo vya COVID 19 sio kama sehemu zingine hawata athirika la bali kila sehemu watapata kiasi chao kwa kiwango cha uovu wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom