Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,393
- 31,344
Nope! Suala ni je chanjo ni salama? Watengenezaji wanasema ni salama.Serikali huwa haithibitishi kitu kwa maneno, vile vile Serikali zinazojitambua huwa haziombi, bali huwa zinajadiliana.
Wacha1 na wengine wanasema hawana uhakika.
Mwenye dhamana ya kuhakiki ni yule anayehitaji chanjo. Wahitaji ndio wanaohakiki si Watengenezaji ambao tayari wamehakiki kwa taratibu R&D na mamlaka za wahitaji.Hakuna majadiliano, hili si suala la kisiasa
Hili linahusiana vipi na chanjo ya Korona?(Ref Sovereign State) Nikukumbushe tu Mwaka jana Serikali ya Tanzania ilifadhili uchaguzi wake kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru mambo ya kukinga bakuli au umatonya futilia mbali.
OK !Kuhusu dawa alizoleta Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi kutoka Madagascar, walisema wanafanya utafiti kama ile dawa ilikuwa inafaa, ulichoona ni samples tu. Wacha uongo, kitu cha kufanya ni kuomba mrejesho.
Yes hakuna tabu, usalama wake upoje?Kuhusu Nyungu, Babu zetu walizitumia toka enzi na enzi na itaendelea kuwepo, hiyo haina mjadala.
Huwezi kuhoji usalama wa vaccine wakati hutuelezi usalama wa nyungu. Teh teh
Hakuna tatizo, vaccine ifanyiwe uchunguzi. Je tuna vifaa vya kazi hiyo?Dawa zote ambazo zinaruhusiwa nani anazifanyia uchunguzi? Tanzania ni nchi usifikirie ni jimbo la taifa lolote lile.
Tunaweza kutafuta genome, tukafanya gene sequencing na kuweza kufanya analysis?
Wamefanya gene sequencing na kupata hii ya SA, taarifa zao zinatumiwa na mamlaka zote duniani katika kutafiti na kukabiliana na SA strain. Je, tunaweza ku-isolate protein na kuifanyia gene sequencing?SA wapo mbele kwa utaalamu upi?
Hakuna haraka, hoja ni kuwa kama kuna options za Maombi, Sala na nyungu kwanini vaccine isiongezwe kama option na iwe hiariHii haraka haraka mnayokimbilia, kuna nini kwenye hiyo chanjo? Twambie kama unafahamu.
Note: Hili suala la vaccine liemeletwa na Mlenge. Kwanza ali 'cast doubt katika vaccine kwa kusifia nyungu
Akajibiwa kwa hoja na si viroja. Usiwe na jazba ndio ukubwa wa hili jukwaa. Ukija uvae kofia watu hawaangalii ukubwa wa fuvu au mayowee! Teh teh teh alumiwe Mlenge strategy ilikuwa tenge!