#COVID19 COVID-19 is historical in Tanzania: Why don't USA, UK, EU and others copy from Tanzania how to fight against the Corona Virus?

1. Hiyo nyungu mbona imeelezwa sana tu na Taasisi ya NIMR, chini ya uongozi shupavu wa Prof. Mgaya, ambaye amenukuliwa kwenye posti kadhaa zilizotangulia? Aah, I get you. Unataka tutumie sauna za mahotelini kwa vile zimetengenezwa mamtoni :)
Hapana! ila usiwaambie watu wachemshe majani kwa muda usiojulikana na kukaa katika mvuke kwa muda usiojulikana. Hatujui wagonjwa wa Asthma na TB wanaruhusiwa au la.
Hatujui kati ya majani ya mpapai, au kavumbasi au masuguru ipi ni dose kali.
Prof Mgaya dah ! haelezi indication au contraindication, adverse event au side effect.!
Iko namna hii: chanjo hiyo iko vema kabisa, tunajua haina shida yoyote :oops:. Ila sisi kwa sasa hatuitaki. Mnaturuhusu kuikataa?
'' Ila sisi'' ni akina nani?
 
Kumbe South Dakota kiasi fulani walifuata utaratibu wa kutoweka lockdown kali. Na matokeo ni kwamba wana nafuu ya athari zinazotokana na Covid 19 kuliko majimbo mengine nchini Marekani .

Hii ni kwa mujibu wa Governor wa jimbo hilo. Yawezekana ndiyo Maana US haijaja kujifunza Tanzania namna ya kushughulika na Covid19 kwa staili yetu.
====
South Dakota has been a target for media attacks because, as the only US state that hasn't ordered any lockdowns or mask mandates during the pandemic, it's a real-life counterpoint to the states that have crippled their economies or imposed restrictions on personal freedoms to mitigate the spread of Covid-19

====
Brennan continued on that theme on Sunday, suggesting that Noem's policies were contrary to CDC guidelines and were at least partly to blame for South Dakota having the eighth-highest rate of Covid-19 deaths per capita in the US. Noem replied that CDC recommendations have changed repeatedly, in some cases because of political pressure, and that South Dakota has "followed the science" in a way that also considers the economic and social wellbeing of citizens.

Noem added that South Dakota's Covid-19 cases peaked earlier than those in other parts of the country, but now are much lower than in many states. She argued that the important question to explore is whether draconian mitigation measures would have helped. "What we're seeing is that the mandates aren't necessarily working."

In fact, New Jersey and New York – Democrat-run states with some of the most stringent Covid-19 policies – have the highest death rates in the nation. New Jersey has a 23 percent higher death rate than South Dakota. New Jersey's December jobless rate was 7.6 percent, compared with South Dakota's three percent, and the state said the figure would have been far higher if it had counted residents who gave up looking for work.
××××
Ironically, it’s not Noem’s, but New York Governor Andrew Cuomo’s state that long had the highest number of Covid-19 deaths – before recently being overtaken by California – and still has the second-highest rate of deaths per capita. And yet, Cuomo wrote a book on his successes in managing the pandemic crisis and won an Emmy Award for his Covid-19 briefings. He was celebrated for his leadership despite ordering nursing homes to accept people infected with Covid-19, before being accused this month of covering up the state's high rate of nursing home deaths

Nguruvi3 said:
'' Ila sisi'' ni akina nani?
Leo hii Jiwe akitamka tu watu wapate chanjo, waumini wake hawa watapigana vikumbo kila moja akitaka awahi hiyo chanjo kabla ya mwenzake. Huko Marekani wapinzani wa awali wa chanjo ndio hao hao walikuwa tayari kujipanga usiku mzima wakisubiri chanjo.

Trump na Mkewe walihakikisha wanapata chanjo mapema kabla ya mtu yeyote lakini humu TUJITEGEMEE anakesha akitafuta conspiracy theories za waumini wa Trump azilete humu...kweli ujinga ni mzigo wa misumari. Kumuabudu binadamu ni hatari kweli kweli...

trump worshippers.jpg

trump worship.jpg
Baadhi ya wajumbe wa chama cha Republicans wakiipigia magoti sanamu ya Trump iliyotengenezwwa kwa dhahabu katika mkutano wao uliomalizika siku ya Jumapili.​
 
humu @TUJITEGEMEE anakesha akitafuta conspiracy theories za waumini wa Trump azilete humu...kweli ujinga ni mzigo wa misumari. Kumuabudu binadamu ni hatari kweli kweli...
Hapa mkuu unanionea, ha ha haaaa! Kwamba suala la South Dakota ni conspracy theories (CT)? Texas nao wanasema wanaamua kufuata staili ya Tanzania, governor kasema anaondoa lockdown! Hiyo nayo ni CT!? MBONA facts zimewasilishwa!?
===
Ya Trump tuyatafutie sehemu yake, ha haaa ! Ila hiyo ya sanamu imeniacha kinywa wazi!
 
Ngoja nikusaidie kidogo TUJITEGEMEE...South Dakota ni jimbo dogo sana nchini Marekani lenye idadi ya watu chini ya milioni moja (850,000) Kati ya hawa watu, laki moja na nusu walikutwa na virusi vya COVID-19 sawa na asilimia 17% ya wakaazi wote wa South Dakota.

Katika idadi hii ya waathirika, karibu 2,000 wamefariki na hii ni idadi kubwa sana kwa jimbo dogo kama South Dakota! Hebu fikiria Jiji pekee kama la Dar es Salaam lenye watu 8,000,000 vitokee vifo zaidi ya 20,000!

Ukitaka kujua zaidi kuhusu South Dakota ingia hapa... https://doh.sd.gov/COVID/ na achana na website za ajabu ajabu.

Marekani ina watu zaidi ya mia tatu thelathini milioni (>330,000,000) Kati ya hawa, waliombukizwa COVID-19 mpaka sasa ni 26,000,000 sawa na asilimia 8% ya Wamarekani wote na ambao wamefariki ni 520,000.

Wamarekani walio na umri mkubwa unaozidi miaka 60 ni karibia milioni 40,000,000 sawa na robo tatu ya Watanzania wote na ndio waathirika wakubwa wa COVID-19 kwa asilimia 80%!

Sikujua Texas wanapiga nyungu na kufunga wakisali! Hebu nipashe!
Ya Trump tuyatafutie sehemu yake, ha haaa ! Ila hiyo ya sanamu imeniacha kinywa wazi!
Sawa ila kumbuka wa kwetu ni zaidi ya Trump, akinguruma ni kama radi imepiga...
 
Sikujua Texas wanapiga nyungu na kufunga wakisali! Hebu nipashe!
Mkuu umesahau RT! teh teh teh! mbavu zangu!
Kitu cha kushangaza, Nyungu na kusali ruksa, mbona vaccine inakuwa nongwa?

Vaccine, wanaoendelea na maombi haya! wanapiga nyungu haya, wa chanjo twende kazi.

Halafu kuna nzige tunaowaona kwa macho, badala ya kusali tunamlaumu Rubani
Yaani Tz burudani tupu Teh teh teh teh
 
Leo hii Jiwe akitamka tu watu wapate chanjo, waumini wake hawa watapigana vikumbo kila moja akitaka awahi hiyo chanjo kabla ya mwenzake. Huko Marekani wapinzani wa awali wa chanjo ndio hao hao walikuwa tayari kujipanga usiku mzima wakisubiri chanjo.

Trump na Mkewe walihakikisha wanapata chanjo mapema kabla ya mtu yeyote lakini humu TUJITEGEMEE anakesha akitafuta conspiracy theories za waumini wa Trump azilete humu...kweli ujinga ni mzigo wa misumari. Kumuabudu binadamu ni hatari kweli kweli...

View attachment 1716708

View attachment 1716704
Baadhi ya wajumbe wa chama cha Republicans wakiipigia magoti sanamu ya Trump iliyotengenezwwa kwa dhahabu katika mkutano wao uliomalizika siku ya Jumapili.​
They are hypocrites. If my memory serves me correctly. Trump supposedly refused to take the vaccine because he was immunized after he contracted and survived the disease. Fast forward, this week it was revealed that he was the first in line to received immunization, albeit secretly.

It won't surprise me if I hear that Jiwe is already inoculated. Isn't this guy who send his minister of foreign affairs to Madagascar to pick up some plants?
 
Legislation introduced to ban mask mandates in Idaho

Farce mask: it's safe for only 20 minutes
Old, still...

April 2020

The point? Hakuna njia moja sahihi nyakati zote mahali pote ya kupambana.
 
Mkuu umesahau RT! teh teh teh! mbavu zangu!
Kitu cha kushangaza, Nyungu na kusali ruksa, mbona vaccine inakuwa nongwa?

Vaccine, wanaoendelea na maombi haya! wanapiga nyungu haya, wa chanjo twende kazi.

Halafu kuna nzige tunaowaona kwa macho, badala ya kusali tunamlaumu Rubani
Yaani Tz burudani tupu Teh teh teh teh
Wanatifuana sasa huko Europe kuhusu chanjo.
 
Hakuna ugomvi. Anayetaka vaccine anapata asiyetaka habughudhiwi
Kama Sala na nyungu zinaruhusiwa, hakuna ulazima wa mtu kushiriki, kwanini isiwe vaccine?

1614917121576.png

''Six member states have now opted for deals on vaccine doses outside the EU Commission’s official procurement for the bloc, sparking the furious reaction of Paris and Berlin. Austria, Denmark, the Czech Republic, Slovakia, Hungary and Poland have unveiled plans to go it alone with vaccine deals with Russia, China and Israel.

The move sparked outrage in France and Germany, given French President Emmanuel Macron and German Chancellor Angela Merkel were the masterminds behind the EU’s Recovery Fund and vaccination project.

A French diplomatic official said states breaking away from the bloc to buy their own Covid jabs was “unacceptable”.
They told Politico: “It’s unacceptable that those who benefit the most from European solidarity spit in its face.” They argued France and Germany have been “breaking their backs” to defend European solidarity and are ready to send a “stern” ultimatum to rebels across the bloc along the lines of “quit this game”.

''Kipendacho moyo ni dawa''.
 
Wacha1 nadhani mabandiko hayo hapo juu yanaonyesha jinsi chanjo ilivyo lulu huko majuu

Wanotaka chanjo wapewe fursa kama ile ya wanamaombi na nyungu.

Chanjo iwe hiari kwa anayetaka
 
Wacha1 nadhani mabandiko hayo hapo juu yanaonyesha jinsi chanjo ilivyo lulu huko majuu

Wanotaka chanjo wapewe fursa kama ile ya wanamaombi na nyungu.

Chanjo iwe hiari kwa anayetaka
Bangi pia imetajwa kutoa manufaa makubwa kwa korona. Wanaotaka bangi wapewe fursa kama wale wa chanjo za majaribio.

Bangi iwe hiari kwa anayetaka.
 
Kabla sijanukuliwa nje ya muktadha:

1. Naunga mkono chanjo. Na chanjo dhidi ya korona zilizoidhinishwa (siyo kupewa kibali cha dharura cha matumizi) na CDC ya nchi iliyotengeneza chanjo.

2. Nadhani tusubiri kidogo wimbi hili limalizikie, tufikie tulipokuwa Septemba 2020. Halafu tuchague chanjo ipi, ya nchi gani, iliyokidhi vigezo, iruhusiwe.

3. Chanjo iwe ya hiari. Serikali isikope hela / au kulipia pesa za walipa kodi kwa ajili ya chanjo husika, mpaka itakapojiridhisha manufaa ya chanjo kwa afya ya jamii.

Mawazo tu ya mtu mmoja wajemeni.
 
Wacha1 nadhani mabandiko hayo hapo juu yanaonyesha jinsi chanjo ilivyo lulu huko majuu

Wanotaka chanjo wapewe fursa kama ile ya wanamaombi na nyungu.

Chanjo iwe hiari kwa anayetaka
Hakuna anayepinga hilo, hata Ulaya chanjo ni hiari. Lakini huwezi kulazimisha kwamba huo ndio uwe mkakati wa Serikali kwa sababu lazima Serikali hiyo ijiridhishe kwamba raia wake hawadhuriki na chanjo ambayo haina viwango au haijaidhinishwa na mwongozo ambao imejiwekea.
 
Rangi ya fonti unayotumia si rafiki kwa macho, hasa kwenye kurasa zenye usuli mweusi. Zikiwa kwenye nukuu, ndio kabisa shida kuzisoma. Sijui na kwa wengine iko hivyo pia?
 
Na serikali haiwezi kuthibitisha kwa maneno tu, wanapaswa kuomba sample na kuzifanyia analysis ili wakitoka na conclusion iwe ya kisayansi na facts . Kumbuka hapa tunaongelea sayansi na si siasa kwahiyo data ni muhimu

Pili, kwanini tudhani vaccine si salama? Nani alithibitisha ile ya Madagascar

Nani amethibitisha usalama wa nyungu ambao ni 'variable' from one backyard to another!!!

Na mwisho, ili kujiridhirisha ni lazima kufanyike analysis. Je, tuna vifaa vya kubaini genome, kufanya gene sequencing etc.? Hata kama tuna mashine, bado zinatoka huko huko Ulaya, so contention ni ya nini?

South Africa walio mbele kitaalam zaidi yetu wanakubali pamoja na nchi SADC na EAC.
Unataka kusema hatuamini hata majirani na ndugu zetu! Ghana na Nigeria wakiwemo
 
Rangi ya fonti unayotumia si rafiki kwa macho, hasa kwenye kurasa zenye usuli mweusi. Zikiwa kwenye nukuu, ndio kabisa shida kuzisoma. Sijui na kwa wengine iko hivyo pia?
Does this make a difference?
 
Na serikali haiwezi kuthibitisha kwa maneno tu, wanapaswa kuomba sample na kuzifanyia analysis ili wakitoka na conclusion iwe ya kisayansi na facts . Kumbuka hapa tunaongelea sayansi na si siasa kwahiyo data ni muhimu

Pili, kwanini tudhani vaccine si salama? Nani alithibitisha ile ya Madagascar

Nani amethibitisha usalama wa nyungu ambao ni 'variable' from one backyard to another!!!

Na mwisho, ili kujiridhirisha ni lazima kufanyike analysis. Je, tuna vifaa vya kubaini genome, kufanya gene sequencing etc.? Hata kama tuna mashine, bado zinatoka huko huko Ulaya, so contention ni ya nini?

South Africa walio mbele kitaalam zaidi yetu wanakubali pamoja na nchi SADC na EAC.
Unataka kusema hatuamini hata majirani na ndugu zetu! Ghana na Nigeria wakiwemo

Nguruvi3 Serikali huwa haithibitishi kitu kwa maneno, vile vile Serikali zinazojitambua huwa haziombi, bali huwa zinajadiliana. (Ref Sovereign State) Nikukumbushe tu Mwaka jana Serikali ya Tanzania ilifadhili uchaguzi wake kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru mambo ya kukinga bakuli au umatonya futilia mbali.

Kuhusu dawa alizoleta Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi kutoka Madagascar, walisema wanafanya utafiti kama ile dawa ilikuwa inafaa, ulichoona ni samples tu. Wacha uongo, kitu cha kufanya ni kuomba mrejesho.

Kuhusu Nyungu, Babu zetu walizitumia toka enzi na enzi na itaendelea kuwepo, hiyo haina mjadala.

Dawa zote ambazo zinaruhusiwa nani anazifanyia uchunguzi? Nguruvi3 Tanzania ni nchi usifikirie ni jimbo la taifa lolote lile.

SA wapo mbele kwa utaalamu upi? Mkuu Wacha kukariri, wapo wabongo wengii tu kwenye nyanja ya Udaktari SA na ni wabobezi kuliko hao South Africans, tuwekee fact mkuu wacha kuzunguka mbuyu.

SADC Tanzania ndio kiongozi wao EAC unaongelea zaidi Kenya kama sikosei ambao historia yao ipo bayana. Ghana na Nigeria who cares about them hatupo hapa kuamuliwa mambo yetu na taifa lingine.

Hii haraka haraka mnayokimbilia, kuna nini kwenye hiyo chanjo? Twambie kama unafahamu.
 
Does this make a difference?
Afadhali kiasi. Kwa watumiao "Night Mode" ile "Contrast" yake inakuwa ndogo, kwa vile usuli ni mweusi. Nimeangalia kwa kawaida (usuli mweupe) rangi zote unazotumia zaonekana uzuri. Jaribu kuweka "night-mode" utaona ni rangi zipi zafaa. Uko free in a free country to choose any font-color you like.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom