#COVID19 COVID-19 is historical in Tanzania: Why don't USA, UK, EU and others copy from Tanzania how to fight against the Corona Virus?

The issue is not Zakumi against me or anybody else with different ideas/opinion. Tanzania never stopped looking for solutions to its problems. Last year we managed to solve the first wave of covid-19 and the majority of people were not happy in order to facilitate their own political agenda/ambitions. The same people are the ones who are making loud voices that the Government has failed to control the disease without facts.

The current wave will pass and Tanzania will be safe.

In regard to the vaccine, The Tanzania government has left its options open until the proper requirements have been met. All medications allowed in the country should be verified by the authorities, it is as simple as that.

We have decided to follow liberal democracy. In that type of democracy, there's a price to pay in order for it to work as intended. in short, the government should tolerate criticism regardless whether the criticism levelled against it is justifiable or not. For example in America there are a propositional number of people who aren't satisfied the way their government has handled the pandemic despite the fact that the government has instituted whatever it can to address the issue. The same situation can be said about the UK government or the one in Canada.

So, the question is why is criticism of the government a problem in Tanzania? If the government solved the first wave and intends to solve the second wave, why does it worry about what critics say?
 
Here we go again. Now we are actively looking for a cure. Five minutes ago, we were learning to live the disease. What's next? Please tell me.
They don't want to be objective, their objective is to delude the public
Personally, I think we are making a terrible mistake by making the fight against covid in Tanzania a partisan issue. For example those who support the government defend whatever steps the government takes; whereas, those who don't support it try to find errors to put the government in a bad light.
Science ingekuwa mediator mzuri katika family feud, wanajua hilo ndio maana wanafanya mashambulizi.
Hivi mtu ametoka kliniki alikompeleka mtoto apate chanjo ya measles. Mtoto alichanja DPT baada ya kuzaliwa na kupewa matone ya Polio. Mtu huyo ana doubt vaccine ya Corona.
Personally, I think this should be one of the issues that unite the country because the disease doesn't discriminate. It infects people from different backgrounds. It kills those at the center of the power as well as those at the bottom of the ladder. To me I think we should have fought this disease the way we would have done when a common enemy attacked our country.
Unity is a thing of the past. Nchi yetu imepoteza cohesiveness . Tumegawanyika katika misingi ya aina nyingi
 
In regard to the vaccine, The Tanzania government has left its options open until the proper requirements have been met. All medications allowed in the country should be verified by the authorities, it is as simple as that.
Nani anatakiwa ku-met proper requirements? Sisi ndio tunahitaji vaccine . Wajibu wetu ni kuhakiki hizo vaccine na kuzifanyia registration. Tuna mamlaka ya Dawa (TMDA) na taasisi nyingine zinazoweza kufanya analysis.
Kwanini hazifanyi? Sisi ndio wahitaji na ndio tunaopaswa kuhakiki. Pfizer au Modena au JnJ hawahitaji kutuuzia

By the way nchi masikini zinapewa bure kama ilivyokuwa miaka ya nyuma kupitia Gavi au ARV.
Hivyo hatutakiwi kusubiri mtu afanye analysis atueletee na vaccine, tufanye sisi wenyewe.

Well, juzi kuna Taifa limepeleka chombo maili 300 kwa miezi 7 katika speed ya 12,00km/hr huku chombo kikifanya control ya landing chenyewe na sasa kinaleta picha nzuri sana kuliko zile za Samsung ya Wacha1
 
Tuonyeshe publication moja kutoka katika ''scientific community'' yoyote duniani inayozungumzia nyungu
...
Wasi wasi wangu utahamisha magoli na kusema hiyo journal hatokani na Elsevier, Springer, ama Nature! Hii hapa article inaeleza habari zinazokusumbua na sina hakika kama utazifurahia kwani za weza kuwa zinavunjavunja agenda zako.


 

Attachments

  • Dr.DilipPawar.pdf
    112.6 KB · Views: 2
Well, juzi kuna Taifa limepeleka chombo maili 300 kwa miezi 7 katika speed ya 12,00km/hr huku chombo kikifanya control ya landing chenyewe na sasa kinaleta picha nzuri sana kuliko zile za Samsung ya Wacha1
Nadhani unaweza kuwa unalenga jambo fulani kwa kumalizia bandiko lako hivi! Hata hivyo, Fizikia ni tofauti na Baiolojia.

Waweza kuwa mbobezi eneo moja ukakwama eneo jingine! Neno teknolojia ni pana sana! Ukienda kwenye umaalumu wa nyanja ya kila somo, hapo unaweza kuelewa nini nina maanisha. Nafikiri nimejeleza na kueleweka. Ha ha aaa!
 
Tunazidi tu kutumbukia kwenye ujinga...

mkojo dawa.jpeg
Sijui kama hii nayo itakuja kudaiwa ni tiba ya corona pia...​
 
Mlenge usichanganye watu. Herbal medication zipo duniani na katika nchi zingine zimesajiliwa na zinauzwa katika madawa maalamu. Kuna herbal iliyothibitika kutibu maradhi. Hilo halina tatizo.

Pili, hizo herbal unazozungumzia ni za INDIA , wao wameweza kuzieleza ni mchanganyiko wa nini.

Tatu, swali ni kuwa hapa Tanzania tunatumia mchanganyiko gani?

Usieleze wa India kwasababu unaotumika Tanzania ni tofauti.
Tumeona viongozi wakifukiza hadi majani ya mipapai. Huko Mtwara wana majani yao.

Hapa Tanga wanatumia majani yao ikiwemo mworabaini wakiamini ni dawa ya maradhi yale 40
Ukienda Moshi wanatumia majani fulani. Ukienda Musoma wanatumia majani ya kitu kingine

Tupe formula ya nyungu ya Tanzania. Hapa ndipo hoja ilipo .
 
...
wanatumia majani yao ikiwemo mworabaini wakiamini ni dawa ya maradhi yale 40

...
Tupe formula ya nyungu ya Tanzania. Hapa ndipo hoja ilipo .

Nyungu ya mwarobaini haina madhara-Prof. Mgaya
Wananchi wametakiwa kuendelea kujifukiza kwa kutumia miti na mimea ya asili ikiwemo mwarobaini katika kukabiliana na ugonjwa wa corona.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Prof. Yunus Mgaya ametoa rai hiyo leo [01 Juni 2020] jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa mti wa mwarobaini hauna madhara yeyote bali ni mti wenye manufaa kwa tiba asili/mbadala ya magonjwa mbalimbali.

Prof. Mgaya amesema kumekuwepo na upotoshaji katika baadhi ya mitandao ya jamii ambayo ilimnukuu kwa kusema kwamba mti wa mwarobaini haufai kujifukiza kwa sababu una kemikali zenye sumu jambo ambalo si kweli.

...

Prof. Mgaya alisema kuwa katika utafiti huo NIMR ilipata idadi ndefu ya majani ambayo yanatumika na wananchi hususani Tanzania na makabila mbalimbali na hivyo walishauriana kuweka makundi matatu na endapo mtu atapata mmoja wa mmea mmoja wapo anaweza kujifukiza.

Alitaja kundi la kwanza ni mkaratusi, kivumbasi (kashwagala) na mchaichai, kundi la pili ni Karafuu (mbegu), tangawizi na limau (majani) na kundi la tatu alisema ni mwarobaini na mpera na kusisitiza kuwa wakati wa kujifukiza joto lisiwe kubwa na muda usizidi dakika kumi kwa watu wazima.

CHANZO:
 
Back
Top Bottom