#COVID19 COVID-19 is historical in Tanzania: Why don't USA, UK, EU and others copy from Tanzania how to fight against the Corona Virus?

Just to alert you that it has been observed a re- surgence of Covid -19 patients in Dar. Be alerted and aware of this development.
The surge was caused by Diwali Festival (mid November). Wahindi wengi sana kusafiri kurudi makwao. Nasikia walirudi TZ kwa wingi na baada ya festival ndio wagonjwa wengi (Wahindi) walilazwa Hindumandal; sasa kagonjwa kamekwenda kwa watu Vifo ni vingi.
Unataka kusema Diwali inamkusanyiko mkubwa kuliko campeni za uchaguzi au mechi za Simba na Yanga?
 
When the disease was first reported in China, the experts understood little about the characteristics of the disease. They knew that the disease was very infectious and it kills people. But that was almost about it. Therefore, for many people it was a mysterious disease and a perfect example for making sensational headlines and stories.

Probably, the media didn’t perform well in informing the masses. However, you shouldn’t chastise the media for not reporting the fundamentals. For, that isn’t the work of the media to educate you. Besides, many people don’t tune to the media to learn, but rather to confirm their own beliefs or to be entertained. Other organizations such as churches, mosques, schools, government agencies etc. are responsible for your information wellbeing. So, if you want to lay blames, the media is just your scapegoat. The media can’t change you. Your pastor, Imam, or president can.

Take for example Mch. Gwajima. He once said that 5G is the source of CORONA-19. Unfortunately, that wasn’t true. But his gullible followers believed him. So, do you think a person who takes Gwajima seriously will accept information from media outlets that contradict his belief? Rarely. The point I want to draw home here is that media can play an important function in the society. However, you must be a good and regular listener who accepts the developments of stories. For instance, the development of covid-19 and how it impacts aging population in developed countries such as the US and the UK has been out there for more than 5 months.

However, for Tanzanians who want to make a good story about their country, new and educational information about covid-19 doesn’t matter to them. For, they want to bash the west even though they are in a deep slumber of ignorance. In terms of mortality cases, Brazil is second to the United and it is in the same geographic latitudes as Tanzania. The question is why don’t we ask Brazilians to copy from Tanzania? I think that this isn’t the story you want to make.

With regard to vaccine, there’s a truth that the vaccine for covid-19 has been developed quickly. However, there is a couple points to be made for this rapid development. To begin with, the technology used for this vaccine is quite new. That’s a game changer here. For instance, 20 years ago, it took you two weeks to send a mail message from DSM to Mwanza. Today, you can send the same message within a second. So, the use of technology has improved the way we run business in many areas including vaccine development. Furthermore, governments and organizations have invested a lot of money in the vaccine development. This type of investment has not been seen before. If the same type of investment has been applied in other diseases, probably we would have a different story to tell. So, instead of bashing, I think we, Tanzanians, should applaud and support these initiatives because our economy is tied to the wellbeing of other citizens of the world. If they don’t come to visit our country we suffer. So whatever invention they take to improve their own situation is good for them and also for us. There’s no point to engage in conspiracy theories.
 
Things are getting hot over here in the states. On Christmas day I got sick like a dog, I had a headache, a chill and a fever ranging between (100.9 - 101.8)F. It lasted for 13hrs and thankful to the most high after that I started to feel better. I sniffed a lot of crushed garlic and drank some garlic water too. On Sunday Dec 27 2020 I tested positive for Covid -19.
 
Things are getting hot over here in the states. On Christmas day I got sick like a dog, I had a headache, a chill and a fever ranging between (100.9 - 101.8)F. It lasted for 13hrs and thankful to the most high after that I started to feel better. I sniffed a lot of crushed garlic and drank some garlic water too. On Sunday Dec 27 2020 I tested positive for Covid -19.
Pole mkuu.
 
Just to alert you that it has been observed a re- surgence of Covid -19 patients in Dar. Be alerted and aware of this development.
The surge was caused by Diwali Festival (mid November). Wahindi wengi sana kusafiri kurudi makwao. Nasikia walirudi TZ kwa wingi na baada ya festival ndio wagonjwa wengi (Wahindi) walilazwa Hindumandal; sasa kagonjwa kamekwenda kwa watu Vifo ni vingi.
Hao wahindi walisafirije wakati hakukuwa na usafiri wa ndege kwenda India? Au hizo Diwali walikuwa wanafanyia Uholanzi? na Middle East?
 
When the disease was first reported in China, the experts understood little about the characteristics of the disease. They knew that the disease was very infectious and it kills people. But that was almost about it.
Experts walionya trend siyo ya kawaida. China wakapiga marufuku utoaji habari na hata kumkamata yule Dr wa kwanza ''dentist'? kwa kutoa habaria za kutisha.Kutokana na 'cover up' ya serikali ya China , WHO chini ya mwafrika wa Ethiopia ikaingia mkenge na kuchelewa kutangaza ' the looming pandemic'

Take for example Mch. Gwajima. He once said that 5G is the source of CORONA-19. Unfortunately, that wasn’t true. But his gullible followers believed him. So, do you think a person who takes Gwajima seriously will accept information from media outlets that contradict his belief? Rarely.
COVID-19 na 5G nilishangaa serikali haikumkamata. Nilishangaa sana
However, for Tanzanians who want to make a good story about their country, new and educational information about covid-19 doesn’t matter to them. For, they want to bash the west even though they are in a deep slumber of ignorance.
Sad!

In terms of mortality cases, Brazil is second to the United and it is in the same geographic latitudes as Tanzania. The question is why don’t we ask Brazilians to copy from Tanzania? I think that this isn’t the story you want to make.
Bolsanaro alikubali hoja za covid deniers na nchi ikalipa gharama kubwa ya maisha. immense mortality !!

Kuhusu vaccine, ukweli ni kuwa ilianza kutengenezwa miaka 10 iliyopita. Hapa ieleweke vizuri kabisa

Vaccine development ni matokeo ya Technology. Siku za nyuma vaccine zilitengenezwa kutoka katika 'live attenuated organisms' au kutoka katika toxin zake. Development ya live attenuated ina challenge nyingi hasa kuhakikisha wadudu hao wanabaki katika hali yake. Pamoja na hayo hata administration yake ilikuwa na challenges pia. Kwa mfano ilibidi kuangalia watu wenye ''comorbidity'' immune compromise etc

Miaka 10 iliyopita wanasayansi wakafikiria kutumia sehemu ya protein ya mdudu na hapa kwa virus ni 'RNA'
Hiyo inatosha ku-stimulate immunity bila kuwa na shaka na comorbidity au immuno-suppression conditions

Covid ilipotokea ilikuwa ni opportunity ya kutumia technology iliyokuwa 'in the making' ndiyo maana imekuwa haraka sana. Lakini pia Technology imesaidia sana kupata protein inayotakiwa kwa muda mfupi na kutengeneza millions of doses kwa muda mfupi sana.Hivyo vaccine ya RNA Technology ilikuwa katika process miaka 10 kabla

Kuna hoja nyingine ya Rais Trump ambayo inatumika sehemu nyingi duniani kuficha ukweli.
Trump anasema, US ina cases nyingi za covid kwasababu wanafanya test nyingi.

Solution aliokuwa nayo ni kuacha kufanya test.! Hili liliacha dunia ikiwa na kicheko.
Kama hufanyi screening ya maradhi yoyote haina maana maradhi hayo hayapo.

Watu wanasema South Africa ina case nyingi za Covid. Ni kweli kwasababu wanafanya testing, wana ripoti vifo.
Lakini pia inawezekana S.Africa ina cases chache sana ikiwa tutajua kila nchi ipoje.

Madai ya kuwepo au kutokuwepo covid eneo fulani la nchi za dunia inategemea jambo moja muhimu; Data
 
Bolsanaro alikubali hoja za covid deniers na nchi ikalipa gharama kubwa ya maisha. immense mortality !!
Bolsanaro alienda chaka! He denied the presence of covid; therefore, no measures were put in place for that matter in Brazil.

Sisi tulikuwa strategic, tulikubali upo na tukaweka plan B ( kufukizia nakadhalika) ya kukabilana nao bila kutishana wala kuumizana kiuchumi. Tuliona ķupima covid, kwa teknolojia iliyopo na uendeshaji wa teknolojia ambayo reliability ya matokeo yake ni less than 70% wakati confidence level ya ubora wa matokeo ya teknolojia ya masuala haya inabidi iwe zaidi ya 95% , ni kujidanganya!

Mpaka sasa sioni tulipokosea kushughulikia covid, sisi kama nchi.
 
What is the situation of covid in Tanzania?
Hakuna waandishi jasiri kufanya uchunguzi wa kina na kuandika. Kuna baadhi waliandika kutoka Europe few months now lakini kwa sababu Tanzania ipo dunia ya tatu interest ni ndogo. Utafika wakati 2/3 years from now wataandika what actually happened in Tanzania. Hivi sasa wanasema hakuna vifo kwa sababu majority population ya Tanzania wengi ni under 50 years. (Kama unavyofahamu life span ya Tanzania according to the data ni 63/61 kwa wanawake na wanaume respectively).

Mimi ninaamini kabisa tiba za kujifukiza na kuongeza immunity kwenye vyakula vyetu ndio imesaidia sana pamoja na usafi (personal hygiene). Vile vile Watanzania wengi wanazingatia mambo ambayo ni obvious.
 
Waswahili husema 'njia ya muongo ni fupi''

Wimbi la kwanza lilikwishapita zamani. Na maisha yakaendelea. Hakuna urongo hapo.

Kwa vile imetajwa kuwapo kampeni ya nyungu, pengine pana wimbi lililoibuka baada ya lile la mwanzoni mwa 2020.

Kama kweli kuna wimbi kama hilo, tutakuwa tumeshapita kilele cha wimbi, na tayari wimbi litakuwa liko kwenye "asimputoti" ndani ya wiki tatu, nne; maisha yanaendelea.
 
Wimbi la kwanza lilikwishapita zamani. Na maisha yakaendelea. Hakuna urongo hapo.
Ni kigezo gani kilitumika kubaini uwepo wa wimbi la kwanza, na kigezo kipi kilibaini 'wimbi lilipita'
Kwa vile imetajwa kuwapo kampeni ya nyungu, pengine pana wimbi lililoibuka baada ya lile la mwanzoni mwa 2020.
Kipi kinaanza ? Uwepo wa wimbi halafu nyungu au uwepo wa nyungu halafu wimbi.

Kwanini unatumia maneno ' pengine pana wimbi'' kwanini pengine
Kama kweli kuna wimbi kama hilo, tutakuwa tumeshapita kilele cha wimbi, na tayari wimbi litakuwa liko kwenye "asimputoti" ndani ya wiki tatu, nne; maisha yanaendelea.
Kwa kigezo au takwimu gani zitakazotuonyesha hayo usemayo?
 
Ni kigezo gani kilitumika kubaini uwepo wa wimbi la kwanza, na kigezo kipi kilibaini 'wimbi lilipita'
Hysteria kwenye vyombo vya habari, vikiwemo vya kijamii; hali iliyoleta taharuki kubwa. Nyungu + Dua vilipopigwa hali ikatulia.

Kipi kinaanza ? Uwepo wa wimbi halafu nyungu au uwepo wa nyungu halafu wimbi.
Uwepo wa wimbi -- kiuhalisia au media hysteria -- matokeo ni taharuki kwa jamii. Nyungu ni ufumbuzi kwa uwapo wa wimbi -- real or imaginary.
Kwanini unatumia maneno ' pengine pana wimbi'' kwanini pengine
Nasikia virusi vya korona viko patented. Sijui ni kweli?
Kwa kigezo au takwimu gani zitakazotuonyesha hayo usemayo?
Mtaani maisha yanaendelea kama kawaida, despite campaign online za kuhype-up taharuki.
 
Hysteria kwenye vyombo vya habari, vikiwemo vya kijamii; hali iliyoleta taharuki kubwa. Nyungu + Dua vilipopigwa hali ikatulia.


Uwepo wa wimbi -- kiuhalisia au media hysteria -- matokeo ni taharuki kwa jamii. Nyungu ni ufumbuzi kwa uwapo wa wimbi -- real or imaginary.

Nasikia virusi vya korona viko patented. Sijui ni kweli?

Mtaani maisha yanaendelea kama kawaida, despite campaign online za kuhype-up taharuki.
Mlenge hukujibu hoja zangu hata moja. Unachosema ni maisha yanaendelea.

Hii inaonyesha kuwa uongo una mwisho na mambo ya kisayansi si ya siasa na kwamba kama hujui sayansi nyuma ya jambo fulani ni busara sana kukaa kimya. Njia ya muongo na waongo ni fupi sana !!
 
Jamvi Baridiii!

Ni kama vile maji yanapojitenga na mafuta au Mpunga unavyochakatwa kutoa Mchele na Pumba
Uongo husambaa kwa kasi, maisha yake ni mafupi sana. Uongo hauna nguzo huegeshwa tu

Leo nimewakumbuka baadhi ya wanasayansi walioisaidia dunia

Dr Edward Jenner yupo katika daraja la akina Isaac Newton, Charles Darwin etc

Dr Rober Koch mgunduzi wa maabara za kubaini maradhi mbali mbali ikiwemo TB , Malale, Malaria n.k
Dr Koch aliwahi kufanya utafiti wake Hospitali ya Ocean Road, na aliondokea hapo kuelekea Stockholm Sweden kupokea tunu ya Nobel (Nobel prize) 1905

Ugonjwa wa malale si Malaria ni vitu viwili tofauti.Huwezi kutibu malale kwa utibabu wa malaria.

Kama jamvi litaendelea na ubaridi huu, kwa idhini yenu tunaweza kutoa darsa la elimu ya tiba na utabibu.
 
Back
Top Bottom