Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,408
- 31,392
Nadhani muda unaongea sasa, leo wewe ndiye wa kusema haya!Hakuna anayefahamu hatma ya Covid-19, muda ndio utaongea.
Nani anajua nini kinatokea Africa? Hili bara hakuna takwimu na maisha ya watu ah sijui kama yanathaminiwa hivyoWalisema Afrika watu watakuwa wanaokota maiti barabarani lakini hilo halijatokea.
Hadi leo unasubiri yaanze, kwa mara ya ngapi?Na kuna watu walimwonyesha Mtanzania moja aliyefariki karibu na mahakama kuu pale karibu na feri (Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi) watu wakafikiri ndio mambo yameanza.
Hee amakweli yakitimia hakuna pa kujificha, leo tuna mabanda ya fukiza nyungu pale MNH na MloganzilaTuvute subira hakuna aliye 100% nini kitatokea leo au kesho.
Tuna Covidol na NIMRCAF bado huna uhakika nini kitatokea! real? amakweli ukweli umetimia.
Please stop this ...! Nchi za magharibi hazina sababu yoyote ya kutafuta pesa za TanzaniaNB Nchi za magharibi wamejikopesha pesa ambazo hawawezi kuzilipa leo wala kesho, wanahaha na kuwatafuta walipaji.
Hatuna pesa wala cha kuibiwa na wakitaka kuiba tutawapa tu
Nani alidanganya watu Tanzania ni nchi tajiri? sisi tunaopitisha mabakuli ya kuomba misaada
Jana Congress imepitisha pesa za covid relief, katika maeneo yote hakuna eneo lililotengewa pesa sawa au chini ya Bajeti yetu nzima. Leo wanataka nini kwa nchi fukara kama Tanzania
Mzungu akitaka madini yetu anayachukua kwa njia nyingine.
Mashine zote zinatoka kwakwe, akipanga bei anayotaka wewe Mtanzania utafanya nini.
Yeye ndiye mwenye soko na pound sterling na Dollar. Hivi nani anayeweza kununua Tanzanite hapa Tz
Zukckeberg hatudai tukitumia whatsapp leo sisi tunavizia pesa za mapato kutoka kwa watoto wanaosoma nje eti wasitumie whatsapp, halafu tunadhani Zuckberg anataka kutuibia. Siyo nchi bali Zuckerber
Sisi tunaotibu watu wetu kwa pesa za Bill & Belinda ndio tunadhani mzungu anataka kutuibia!phwee
Achana kabisa na hoja za kitoto kama hizi. Mag3 anahoji kwamba hawa ndio wasomi wetu!
Unanikumbusha Profesa anayehoji vaccine kutumia muda mfupi wa ugunduzi, wakati Prof huyo huyo hatuelezi Togwa na Mtindi aliotengeneza kutibu changamoto ametumia muda gani teh teh teh