Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,233
Geresha tu hiyo, don't read that story. Tanzania is safe asikudanganye mtu. Rais ana malengo yake anataka waone yupo serious.India waliweka lockdown wakaondoa kwasababu ya watu kukataa. Wimbi likapita salama kama ilivyokuwa Tanzania
Wimbi la pili likaanza Tanzania, ndio hadi tukapa 'tangazo la kutozika usiku' . India walikuwa salama
Majuzi watu 25,000 wakajaa Ganjes river huku zaidi ya 50K wakihudhuria mikutano ya Narendra Mod
Wakaacha kila tahadhari wakifurika kila mahali, well kianchoendelea ujaua ni nini
By the way 'wameanza kuvaa masks' teh teh teh. Leo umeona?