#COVID19 COVID-19 is historical in Tanzania: Why don't USA, UK, EU and others copy from Tanzania how to fight against the Corona Virus?

Transport for London scraps face masks rule (msn.com)


Public transport users in London will no longer be required to wear face masks from Thursday.​


1645631003576.png
© Yui Mok Public transport users in London will no longer be required to wear face masks from Thursday (Yui Mok/PA)

Transport for London (TfL) announced that face coverings will stop being a condition of carriage following the “shift in the Government’s approach” towards living with coronavirus. It added that “decreasing infection rates in London” were also a factor in its decision.

The Government scrapped the requirement for people in England to wear face coverings on public transport on January 27 but TfL kept the rule on its services. Despite face coverings being dropped as a condition of carriage, TfL said it “strongly encourages” passengers to continue to wear them to “keep each other as safe as possible”.

TfL’s chief safety, health and environment officer, Lilli Matson, said: “All customers should be assured that the public transport network is as safe as other similar settings, and that independent testing has found no trace of coronavirus on our network since September 2020.

“We look forward to continuing to welcome customers back to our network as we help London and the economy recover.” TfL said demand for public transport in the capital has grown in recent weeks.

Last week around 2.2 million to 2.5 million journeys were made on the Tube each weekday, which is around 60% of pre-pandemic levels. Weekday bus use is at around 75% of normal.

Wale wafuata mkumbo kwa kuwanyenyekea wazungu tunawasubiri.
 
Halafu, namna yako ya kuhoji Vita ya Uchumi na Corona, kwangu naona inashusha hadhi ya jukwaa. Wewe si wa kujenga hoja kitoto hivyo...unalifanya kwa makusudi.

Kinachosemwa ni Uwezekano wa Virusi vya Corona kuwa vimetengenezwa kwa makusudi ya Ushindani wa kiuchumi wa mataifa makubwa, Nasi ni nyasi ziumiazo katika vita hiyo ya wenye nguvu kubwa kiuchumi.
(Nimefafanua hilo si kwa kufikiri wewe hujui, NO. Najua wazi unalijua vema, ila umekusudia kupotosha. Inachosha)
Nguruvi3 , rejea hapa.
 
Je bado unaamini virus walikuwa engineered! katika ushindani wa kiuchumi?
Je, hiyo ndiyo vita ya uchumi aliyoongelea Magufuli? Maana aliongelea kila mahali alipopingwa
Ilikuwa ni kama ngao yake, kwamba tupo katika vita, in real sense ilikuwa vita hypothetical iliyojengwa juu ya Illusion and Delusion

Nawe unatushawishi kuwa mataifa makubwa yanapigana kiuchumi ndiyo maana wanaleta barakoa zenye virus Tanzania kama alivyosema JPM! Please
Je, una uhakika wowote juu ya chanzo cha kutokea kwa Corona Virus?

Je, umeshawahi sikia uwepo wa virus vilivyotengenezwa maabara?
 
Kumbe bado hata Ego yako inakusumbua, halafu unataka kuyasemea Makuu yahusuyo Taifa. Mbona utajichosha sana.
Mbali na mapungufu yake haya, nakiri ndugu Nguruvi3 amenisaidia sana kujua mambo mengi, na kwa kweli ninampa heshima kwa hilo. Bahati mbaya sana kwa sasa naona heshima tunayompa mimi na wenzangu anaelekea kuitumia vibaya. Hili si jambo zuri.
 
Mbali na mapungufu yake haya, nakiri ndugu Nguruvi3 amenisaidia sana kujua mambo mengi, na kwa kweli ninampa heshima kwa hilo. Bahati mbaya sana kwa sasa naona heshima tunayompa mimi na wenzangu anaelekea kuitumia vibaya. Hili si jambo zuri.
Hakika ni mjuzi wa mengi sana, hasa katika Siasa. Ni mfuatiliaji wa mambo mzuri sana na kutunza rekodi vema.

Binafsi ninampongeza kwa hilo.

Shida ipo kwenye kuchakata hizo taarifa.
 
Ngoja turudi kwenye habari zetu.

Baadhi ya chanjo za COVID-19 zina madhara. Utawala wa masuala ya dawa na chakula huko Marekani wasimamisha matumizi yake.
=====
The US Food and Drug Administration (FDA) has limited its approval of Johnson & Johnson’s Covid vaccine to those over the age of 18, pointing to dangerous side effects observed in younger recipients.

The agency announced the move in a press release on Thursday following a review of data, saying the J&J shot (alternatively known as the Janssen vaccine) would no longer be authorized for minors due to “rare and potentially life-threatening blood clots.”

“After conducting an updated analysis, evaluation and investigation of reported cases, the FDA has determined that the risk of thrombosis with thrombocytopenia syndrome (TTS)... warrants limiting the authorized use of the vaccine,”
it said, referring to the blood-clotting ailment. It noted that symptoms typically appear “approximately one to two weeks” after the jab is administered.

 

UK's Johnson warns of downside to ending Ukraine conflict​

Any effort to resolve the conflict between Moscow and Kiev peacefully will cause more harm than good, the UK PM has said.
UK's Johnson warns of downside to ending Ukraine conflict

====
Ilivyoanza operation ya Russia huko Ukraine, nikama suala la korona lilizimwa. Sasa Boris anasema kusitisha Mgogoro huu wa operation ya Russia utasababisha maafa zaidi je , anamaanisha korona itarudi? Maana Boris hakutoa ufafanuzi!! Kama alitoa ufafanuzi juu ya kauli yake hiyo naomba.
 
The US may owe the world huge compensation for the damage caused by the Covid-19 pandemic, Vyacheslav Volodin, the speaker of the Russian State Duma, said on Wednesday. He cited remarks made by the chair of The Lancet commission on the disease, who suggested the SARS-CoV-2 virus may have originated from an American research program.

Speaking in Madrid last month, economist Jeffrey Sachs called the current situation “a mess” and blamed diminishing American leadership for it, identifying the pandemic as one of the US failures. He said he was convinced that the virus “came out of US lab biotechnology” as opposed to evolving naturally, citing his experience with the authoritative British medical magazine.
====
Tunasubiri majibu ya US juu ya tuhuma hizi.
 
Back
Top Bottom