COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

Finally vichwa panzi wametualibia uzi 😢

Ooooh hatuelewi ooooh unazunguka mbuyu wanashindwa kusoma kichwa apo kinahusu deep state inavyo husika na kuenea kwa covid 19

Sema nn anko The bold umezingua kutulisha ugal bila mboga tushibe haraka kisa vichwa panzi wachache

Njoo kwenye group, story inaendelea kama kawaida.

Huku changanyikeni tunawapa kidogo kidogo.
 
Hizi stori kama una ubingo kama wa kuku utapotea tu. Hili ni jukwaa la intelligence tu. Mtu akiona ha-fit bora ajikatae tu
Kweli kabisa philosopher unakuta mtu tatizo lake yeye lakini anamlaumu mtu mwingine nashamshangaa sana mwandishi kwa kukubali matakwa ya retards kama hawa
 
Kweli kabisa philosopher unakuta mtu tatizo lake yeye lakini anamlaumu mtu mwingine nashamshangaa sana mwandishi kwa kukubali matakwa ya retards kama hawa
Mwandishi hakutaka kumwacha hata mmoja wetu nyuma. Amefanya fair🤣🤣
 
Sawa madam nimekuelewa sana,naona form six mnarudi shule June,bila shaka uliimiss shule yako ya jangwani girls

Acha kupenda vya bure, join WhatsApp uchangie, story iko full kwenye group.

Ukipenda vya bure basi usilalamike lalamike.
 
Na Mimi pia nakazia hili, kweli kabisa the bold hajatutendea haki. Huu Uzi unasomwa na watu zaidi ya laki moja Ila vicoment vya vihio wachache ndio vimesikilizwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unataka usikilizwe wewe tu? Je watu wengine hawana haki ya kusikilizwa? Mwandishi yoyote yule anayejitambua lazima asikilize hadhira yake inataka nini hata km ni watu wawili kongole to bold anajua jinsi ya Ku deal na hadhira yake
 
Hadhira imegawanyika wengine wameyakubali mabadiliko wengine wanayakataa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom