COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

Wewe ni mkewe?sasa kama umemkubali mume mmoja unataka unikubali na mimi ili iweje?mimi sihitaji kupiga hela kwa kuwadanganya vilaza.mi nawaelimisha bure.umaarufu wangu ni mkubwa nje ya Jamiiforums kwa jina langu halisi.humu naburudika na kuelimisha watu.

Wajinga siku zote ndio waliwao.kama unavyojitanabaisha hapa.unaliwa kila sehemu kwa ubwege wako....namsaidia mwandishi asidhani humu mmejaa nyie tu vilaza.baadaye anawaunga kwenye group anawatoza pesa....😁😁😁😁 Na mnaliwa kimapenzi pia.

Write your reply...mkuu Chizi Maarifa usitafute umaarufu kwa kumpinga jamaa,shusha nondo za maana tutakukubali na utakuwa maarufu na utaipiga hela, acha majungu Fanya kilicho bora umaarufu utakufuata.
 
Na huwa wanaweka references. Unajua hilo Mkuu? Hawafanyi kama ni zao hiyo tunaita plagiarism. Jamaa anachofanya ni kama anasimulia riwaya ingawa kiuahalisia anataka pia ionekane ni habari ya kweli kabisa.sasa anakuwa katikati.mwishowe anajikuta kama naye ni mhusika anasimulia mambo ambayo ameshiriki kabisa.hapo ndo anapodanganya umma wa wanajamiiforums wanaojitambua.wale vilaza wao hawahangaiki kutafakari.wanasema tu hadithi njoo uongo njoo...utamu kolea.
Kwa hiyo unadhani hamna references kabisa hapa? Unashindwa nini kwenda YouTube na kuangalia White House Correspondents dinner? Unashindwa nini ku-google Wuhan Institute of Virology ujifunze zaidi. Hujui hata riwaya huwa zina mafunzo flani ndo maana ziko mpaka kwenye mitaala ya elimu zetu? Hii ni chakula tu ya ubongo.. tho ukitaka kujua zaidi, vitu almost vyote viko mtandaoni, Habibu B. Anga ametusaidia tu kutukusanyia na kutuwekea pamoja
 
kwanza mkuu nikukosoe kwa kudhani watu wameamua kukuparua sababu hawaelewi vile mtiririko wako una kona nyingi,NO.

watu wanapenda mambo yasiyoeleweka kirahisi ndio hulka ya binaadam,na ndio maana hata wewe ukatueleza uliipenda topic ya quatum physics sababu ya hayo maspringi yake.

watu wanajaa upepo sababu wanatamani wakuelewe kwa kuleta kitu baada ya kitu,sio unaleta moja leo inamuacha mtu hewani akiwa hajanasa kitu kwa uzuri,halafu nyingine wiki ijayo,mambo ni mengi mtu ana loose intrest na kujikuta haelewi tena.

mbali na yote najua unapoteza muda na rasilimali zako kutuburudisha sisi usiotujua,pole na tunashukulu,ila isiwe fimbo ya kutuchapia,maana inageuka adhabu kweli kweli.

100.
 
Na huwa wanaweka references. Unajua hilo Mkuu? Hawafanyi kama ni zao hiyo tunaita plagiarism. Jamaa anachofanya ni kama anasimulia riwaya ingawa kiuahalisia anataka pia ionekane ni habari ya kweli kabisa.sasa anakuwa katikati.mwishowe anajikuta kama naye ni mhusika anasimulia mambo ambayo ameshiriki kabisa.hapo ndo anapodanganya umma wa wanajamiiforums wanaojitambua.wale vilaza wao hawahangaiki kutafakari.wanasema tu hadithi njoo uongo njoo...utamu kolea.
Ingekuwa vizuri kama ungekosoa watu na matukio anayoweka kwenye Story zake.Fanya Critic badala ya general statements

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mkewe?sasa kama umemkubali mume mmoja unataka unikubali na mimi ili iweje?mimi sihitaji kupiga hela kwa kuwadanganya vilaza.mi nawaelimisha bure.umaarufu wangu ni mkubwa nje ya Jamiiforums kwa jina langu halisi.humu naburudika na kuelimisha watu.

Wajinga siku zote ndio waliwao.kama unavyojitanabaisha hapa.unaliwa kila sehemu kwa ubwege wako....namsaidia mwandishi asidhani humu mmejaa nyie tu vilaza.baadaye anawaunga kwenye group anawatoza pesa.... Na mnaliwa kimapenzi pia.
Amedanganya nini?,ukweli ni upi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
La msingi angeweka vitabu hapa tutasoma wenyewe siyo kutafsiria watu na kuweka chai au kujifanya yeye ndo kaandika.though najua hawezi weka vitabu maana vitamuumbua. Msiwe mnasahau na sisi wenye uelewa tumo humu.siyo wote ni form four leavers.
Thibitisha kuwa wewe una uelewa mkubwa kuliko wengine.
Ebu tupe version yako kuhusu Covid 19 na Deep State.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kuna nyuZi nyingi sana za size yako mfano ile ya kula tunda kimasihara,ungeenda Kule,humu unatuletea hasira tusije tukakuponda hicho kichwa chako kama cha koboka
Hizi stori kama una ubingo kama wa kuku utapotea tu. Hili ni jukwaa la intelligence tu. Mtu akiona ha-fit bora ajikatae tu
 
hahah jamaa wameungana kama the Board wa kwenye vipepeo weusi
kama huelewi tafuta unachokiealewa then mambo yanakuwa murua
 
kwanza mkuu nikukosoe kwa kudhani watu wameamua kukuparua sababu hawaelewi vile mtiririko wako una kona nyingi,NO.

watu wanapenda mambo yasiyoeleweka kirahisi ndio hulka ya binaadam,na ndio maana hata wewe ukatueleza uliipenda topic ya quatum physics sababu ya hayo maspringi yake.

watu wanajaa upepo sababu wanatamani wakuelewe kwa kuleta kitu baada ya kitu,sio unaleta moja leo inamuacha mtu hewani akiwa hajanasa kitu kwa uzuri,halafu nyingine wiki ijayo,mambo ni mengi mtu ana loose intrest na kujikuta haelewi tena.

mbali na yote najua unapoteza muda na rasilimali zako kutuburudisha sisi usiotujua,pole na tunashukulu,ila isiwe fimbo ya kutuchapia,maana inageuka adhabu kweli kweli.

100.
Hakika hapo umenena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom