COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

Hapa JF kwa muda wa miaka mitano iliyopita nimeandika nyuzi za Intelijensia zaidi ya hamsini. Kama ni msomaji wangu mzoefu utaelewa kwamba, sijawahi ku-lose focus, siwezi ku-lose focus na haitokuja kutokea nika lose focus. NEVER.!!

Huu wali ndio kwanza tumeupalia mkaa.. subiri uive tukwangue ukoko.

Endelea kufuatilia.. kuna jambo jipya kubwa sana utalipata hapa.

Regards
Habib

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mzee
 
Tumfuate kule whatsap!!!Lakini ile makala ya roman abramovich ilichora mwelekeo wa siasa za tanzania!!Ndo maana unaona ujasusi wa kiuchumi kwa matajiri wazawa hadi wanakufa kwa presha na matatizo mengine!!!!BADO NAMTAFUTA ROMAN ABRAMOVICH WETU HAPA NCHINI JE NI ROSTAM?MAKONDA?NANI? NA PUTIN WETU JE NI JIWE???NAJIULIZA BADO HADI SASA!!
Hao wote hamna mwenye akili ya abramovich labda makonda shida akili yake ndogo sana hawezi mudu mikiki alivyopendwa angekuwa na akili kidogo angekuwa mbali sana
 
Daaah hivi brother najaribu kuwaza unatumia mda kuandaa makala zako? Pia huwa nawazaga tena unafikiaga kutupa ujumbe gan kweny baadhi ya makala zako , mf " the other half"
Uko vizur sana brother hakika unakipaji cha hali ya juu M/ mungu kakujalia hongera sna , yaaan inafika wakati nikianza kusoma makala zako hadi. wife anachukia anajua kwa mda huo siwezi kumwelewa akiniongelemesha kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe uko kama mimi make wangu anachukia maana hata kula naahirisha mpaka nimalize
 
Na huwa wanaweka references. Unajua hilo Mkuu? Hawafanyi kama ni zao hiyo tunaita plagiarism. Jamaa anachofanya ni kama anasimulia riwaya ingawa kiuahalisia anataka pia ionekane ni habari ya kweli kabisa.sasa anakuwa katikati.mwishowe anajikuta kama naye ni mhusika anasimulia mambo ambayo ameshiriki kabisa.hapo ndo anapodanganya umma wa wanajamiiforums wanaojitambua.wale vilaza wao hawahangaiki kutafakari.wanasema tu hadithi njoo uongo njoo...utamu kolea.
duu jomba povu limekutoka hatari.utakuwa mtu wa kigoma!
 
La msingi angeweka vitabu hapa tutasoma wenyewe siyo kutafsiria watu na kuweka chai au kujifanya yeye ndo kaandika.though najua hawezi weka vitabu maana vitamuumbua. Msiwe mnasahau na sisi wenye uelewa tumo humu.siyo wote ni form four leavers.
neno "though" naona limeanza kukaa kichwani muha..kila epsode ya comments zako unalichomekea
 
Naona hatimae tumepotea kabisaaaa..nashauri dereva arudishe chombo angalau mpaka Hong Kong (sio lazima tukaanzie Wuhan) kisha tuanze kuifuata tena njia.Kuna uwezekano mkubwa tusupotee tena.

sent from Samsung Galaxy A30
 
Binafsi namwelewa sana The bold toka mwaka 2014 kwenye sakata la mchungaji mmoja, aliutendea haki uandishi wake.
Siwashangai sana wanaosema hawamwelewi kwa sababu hili jukwaa ni kawaida kuwa na mambo magumu mno.
Watu wengine KB moja ni shida mimi mwenyewe nimesilitika sana
 
Siyo epsode ni episode sister. Just leave this to men.you aint the type of girl who can even support your man.najua jamaa ana mke wake ila sijajua we mchepuko wake una uchungu kuliko mkewe.😂😂😂😂
neno "though" naona limeanza kukaa kichwani muha..kila epsode ya comments zako unalichomekea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom