COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

Wewe ni mkewe?sasa kama umemkubali mume mmoja unataka unikubali na mimi ili iweje?mimi sihitaji kupiga hela kwa kuwadanganya vilaza.mi nawaelimisha bure.umaarufu wangu ni mkubwa nje ya Jamiiforums kwa jina langu halisi.humu naburudika na kuelimisha watu.

Wajinga siku zote ndio waliwao.kama unavyojitanabaisha hapa.unaliwa kila sehemu kwa ubwege wako....namsaidia mwandishi asidhani humu mmejaa nyie tu vilaza.baadaye anawaunga kwenye group anawatoza pesa....😁😁😁😁 Na mnaliwa kimapenzi pia.
😃😃😃duhh
 
Yaani ni kusubiri tu, mkuu hata kama hatukulipi ila sio poa kabisa, unatusubirisha sana, umetunyima fursa za kusoma baadhi ya sehemu ulizoruka kisa a few people waliolalamika. Bhaghosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee niunge tu katika group lako la WhatsApp maana hapa naona nachelewa tu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipanga nisicomment kwenye huu uzi hata maramoja mpaka unaish lakini sasa inabidi tu. Mkuu the bold sijui kasusa kwa wale wachache waliomwambia hawaelewi issues za deep state?! 😌
Au inachukuwa muda kutenganisha?🤔
 
Naam mkuu.. hakika kuna jambo tutalipata

Sent using Jamii Forums mobile app
Makala yako ina hoja nzito za kufikirisha iwapo COVID-19 ni ugonjwa kama magonjwa mengine kutokana na virusi (mafua, surua, UKIMWI, nk) au ni moja ya silaha za kibailojia? Hata HIV pia imezungumziwa sana na hadi sasa chanjo haijapatikana.

Kwa ushuhuda ufuatao, naamini COVID-19 ni ugonjwa kama magonjwa mengine yatokanayo na virusi ila umepambwa sana na vyombo vya habari. Nimepita maeneo mengi, jiji la Dsm, watu wanaendelea na maisha yao kama kawaida waliovaa barakoa na wasiovaa, pia wenye kutakasa mikono na wasio. Misungamano ya watu iko palepale.

COVID-19 naamini ni aina ya mafua ambayo hatari zaidi kwa afya ya binadamu. Kwa sababu hiyo zimetangazwa na kuhimizwa njia/mbinu mbalimbali za kujikinga dhidi ya maambukizi na kusambaza, ambazo kwa kiwango kikubwa zimeibua fursa za kiuchumi, kwa upande mmoja, na kuhatarisha afya, kwa upande mwingine kama ifuatavyo:-
1) Matumizi ya barakoa, kama moja ya kinga dhidi ya maambukizi, ni fursa ya kiuchumi kwa watengenezaji. Lakini, kwa upande wa kiafya ni hatari iwapo barakoa itakuwa moja ya vazi la kudumu. Mvaaji huvuta tena hewa chafu anayopumua. Kama barakoa imebana vizuri usoni kiwango cha kuvuta hewa chafu ni 20-40% na kusabibisha viungo muhimu (moyo, maoafu, ini, nk) kukosa hewa safi.
2) Matumizi ya vitakasa mikono pia imekuwa fursa ya kiuchumi. Pamoja na kwamba ni kweli mikono inatakasika lakini pia kunaondoa bakteria mwilini kwa kiwango kikubwa na kupunguza uwezo wa mwili kujijengea kinga. Kinga ya mwili ikipungua husabisha mwili kushambuliwa na magonjwa kwa haraka (UKIMWI)
3) kujifukizia pia kumetoa fursa kiuchumi kwani sasa kumekuwa na ubunifu wa kutengeneza mashine na vifaa vya shughuli hiyo. Wataalamu wa afya wametoa tahadhari ya madhara ya kujifukiza.
4) matumizi ya dawa mbadala kumeongeza idadi ya utengenezaji wake. Dawa hizi hazijafanyiwa uhakiki wa madhara yake ya muda mfupi na mrefu kwa afya

Hivyo basi, najiuliza, je, mbinu hizo za kinga dhidi ya maambukizi ya COVID-19 zitakuwa na madhara gani kwa binadamu wa kesho (watoto)? Je, hii siyo vita ya kuangamiza dunia? Maswali haya ndiyo yanipelekea kukanusha kuwa kirusi cha korona hakihatengenezwa kama silaha ya kivita.

Kama COVID-19 ni hatari hivyo, kwa Tanzania ambako hapajawa na aina yoyote ya "lockdown", na watu wanaendelea na maisha yao kama kawaida, je, mlipuko wa watu kufa hovyo tuusubiri hadi lini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom