COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

Finally vichwa panzi wametualibia uzi 😢

Ooooh hatuelewi ooooh unazunguka mbuyu wanashindwa kusoma kichwa apo kinahusu deep state inavyo husika na kuenea kwa covid 19

Sema nn anko The bold umezingua kutulisha ugal bila mboga tushibe haraka kisa vichwa panzi wachache
 
Hapo mkuu bold umeushangaza umma kubadilisha mtiririko wa story, kisa vilaza wachache wanalialia, mbona tunaielewa vizuri story,umeamua kuwafurahisha vilaza huku sisi tunaoelewa ukituacha kwenye oblivion,hanna mtu amelazimishwa kusoma hii makala kwahiyo kama haelewi aende kusoma thread ya kula tunda kimasihara maana ndio thread ya uwezo wake wa kufikiri.

Acheni kupenda vya bure, jiungeni WhatsApp mchangie kidogo, siyo mnaleta mboyoyo kutaka dezo.
 
Nilichomgundua Muandishi ni muoga anatamani atujuze mengi Lakin anaogopa umediss mambo ya Uganda 🇺🇬 watu wasiojulikana wakakufwa wakakuambia
kwa usalama wako na usamala wa familia yako achana na hizi Habari zinazohusiana na nchi za Africa mashariki . Kuhusu hii mada hii watu walichovutiwa ni covid-19 sio deep state tatizo uwoga ndio unakusumbua unazunguka Sana China na marekani ni mbali wewe funguka nenda kwenye points na kichwa cha Habari hapo juu usiwe unazunguka zunguka pia icho ndicho kilichowachosha watu kama unavyodai. Ili ndio tatizo la waandishi wetu wa Tanzania mfano Kama bongo movies awajui kumalizia mada

jiunge group lake wasap upate kumaliziwa yote
 
Hao wanao itwa vichwa Panzi kiukweli kabisa hawapaswi kuitwa hivyo, tuwatafutie tu jina. Kwasababu hata panzi pia anatumia akili
 
Binafsi namwelewa sana The bold toka mwaka 2014 kwenye sakata la mchungaji mmoja, aliutendea haki uandishi wake.
Siwashangai sana wanaosema hawamwelewi kwa sababu hili jukwaa ni kawaida kuwa na mambo magumu mno.
 
Na huwa wanaweka references. Unajua hilo Mkuu? Hawafanyi kama ni zao hiyo tunaita plagiarism. Jamaa anachofanya ni kama anasimulia riwaya ingawa kiuahalisia anataka pia ionekane ni habari ya kweli kabisa.sasa anakuwa katikati.mwishowe anajikuta kama naye ni mhusika anasimulia mambo ambayo ameshiriki kabisa.hapo ndo anapodanganya umma wa wanajamiiforums wanaojitambua.wale vilaza wao hawahangaiki kutafakari.wanasema tu hadithi njoo uongo njoo...utamu kolea.

Mkuu hivi unajua notice zote ulizosoma katika mapito yako yote ya elimu ni summary ya vitabu vya watu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom