CoverLetter/Motivational Letter

GIPAMA

JF-Expert Member
May 21, 2016
1,103
541
Wakuu habari za majukumu,
Naomba mwenye sample ya Coverletter/motivational Letter anisaidie hapa ama DM nimetuma maombi sehemu nyingi ila siitwi nahisi shida iko kwenye covering..

Alienayo ambayo alishaitumia ikamletea matokeo chanya. Naomba msaada huo
 
Kuna sababu nyingi. Angalia unavyoa andika barua.. cv yako jee imekaaje?
Wakuu habari za majukumu,
Naomba mwenye sample ya Coverletter/motivational Letter anisaidie hapa ama DM nimetuma maombi sehemu nyingi ila siitwi nahisi shida iko kwenye covering..

Alienayo ambayo alishaitumia ikamletea matokeo chanya. Naomba msaada huo
 
CV iko vzr nmegundua bila shaka barua n tatzo ndio maana naomba sample ili nibaini nakosea wap
Kwa kipindi hiki wasioitwa kwenye kazi Ni wengi sio wewe tu.
Kwa hyo sidhani Kama barua inaweza kuwa sababu.
Labda ungetuelezea umesomea nini na una uzoefu wa miaka mingapi kwenye kazi yako halaf tutakushaur kitu cha msingi.
 
Ni kweli kabisa mkuu.
Kipindi hiki watu wana qualifications za kutosha ila hawaitwi kwenye interview.
Nadhani kuitwa kwenye interview ni suala la bahati inayoambatana na muda ambao mwenyenzi mungu aliokupangia au uwe na wa kukushika mkono.
 
Ndio hvyo kabisa, usitegemee umetoka chuo halaf utume maombi sehem 10 tu halaf ndio utegemee kupata kazi.
Mimi mwenyewe kwa mwezi natuma applications zaidi ya 300 na bado sijapata kazi na Nina CV nzito na experience ya kutosha.
 
Kuna tofauti gan kati ya application letter na coverletter?
Kwa kipindi hiki wasioitwa kwenye kazi Ni wengi sio wewe tu.
Kwa hyo sidhani Kama barua inaweza kuwa sababu.
Labda ungetuelezea umesomea nini na una uzoefu wa miaka mingapi kwenye kazi yako halaf tutakushaur kitu cha msingi.
 
Mimi mwenyewe nimeandika application letter nakutuma Cv nyingi nyingi hadi kuchoka ila sijaitwa sasa hivi ushindani ni mkubwa sana sana wengine ikitokea nafasi ya kazi wahonga kabisa

Mahr nao wanawatu wao
Ushindani mkubwa sana kila mtu anajaribu njia yoyote hata kuhonga
Anunue Ajira
Kujuana sana
Kubebana
 
Hakuna nisichoelewa. And yet unatetea ujinga. Poor Tz
Unipanic, usitumie akili kufuga nywele tu. Et mtu udese barua, hv una akili kweli wewe!? Hv ww kwa akili yako hujui kuwa haa barua ya aina yyte, format zake ulifundishwa darasan, je huwa unaandika kama ulivofundshwa darasan? Ama huwa unatumia format ya darasan alafu unaandika kwa maneno yako?

Tumia kichwa kufuga akili, usikurupuke.!!
 
Sasa Kama basics ulipata darasani shida iko wapi mpk udese? Halafu nipanic kwani mm ndio nahitaji hiyo barua ya kudesa? Poor Tz. Wasomi wasomi wanadesa Hadi sampo ya barua Yani hawaelewi waandike Nini ili kujiuza sokoni.
 
Nimefatilia majibizano yenu, nimegundua wewe ndie poor tz, akili ulizonazo ni za kusubili mali ya urithi kwenu. Akili zingne huna, maana unaona umekamilika huwez htaji mawazo ya kuboresha kitu, hujui vitu vinaboreshwa kila uchao!? Kwanini mahakaman huwa wanatumia sample ya hukumu zilizowah kutolewa ili kutoa hukumu fulan? Je huwa wanatesa hukumu!? Akili huna wewe!!
 
Mfano wako hauendani kabsaa umevamia mada. Unaelewa lengo la barua na CV ya kuomba kazi. Yaani mtu kujielezea wewe unajua ni nini kulinga na matakwa ya nafasi iliyopo unataka upate sampo ya mtu mwingine? Yaani ishu ya personal characters unashindwa kuziexpress?

Poor you, reference za kimahakama Zina base at end result hukumu ilikuwakuwaje based on the same scenario. It doesn't only focuses on the process to reach the judgment.

Sishangai kuona watz kuwa inferior kwa wakenya. Mtu anadesa assignment za chuo, mitihani Hadi research, unategemea ataweza kuandika CV yake au barua ya kazi? Damn
 
Sasa Kama basics ulipata darasani shida iko wapi mpk udese? Halafu nipanic kwani mm ndio nahitaji hiyo barua ya kudesa? Poor Tz. Wasomi wasomi wanadesa Hadi sampo ya barua Yani hawaelewi waandike Nini ili kujiuza sokoni.
Nawasiwasi na kichwa chako...
 
Sasa Kama basics ulipata darasani shida iko wapi mpk udese? Halafu nipanic kwani mm ndio nahitaji hiyo barua ya kudesa? Poor Tz. Wasomi wasomi wanadesa Hadi sampo ya barua Yani hawaelewi waandike Nini ili kujiuza sokoni.
alafu acha ujinga kaka ,sasa hapo una sababu gani ya kuitusi Tanzania nzima ?kila kitu poor tanzania ....utakuta mtu mwenyewe unaeandika huu upumbavu huna lolote afadhali hata ya huyu unaemtolea povu hapa,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom