COVAX: Mpango wa Chanjo ya Covid-19 wa Bill Gates na mke wake

Dawa zote mnachukua nje kwanini msitengeneze ARV zenu na chanjo zenu za kifua kikuu ,tb,polio badala mnazikimbilia za hao mabeberu ..Kama hizi dawa na chanjo mmeshindwa kutengeneza kwa ukilaza wenu mtatwngeneza chanzo za Corona labda mchanganye muarubaini na mitishamba ndio uwezo wenu

Dawa karibia zote pharmacy na mahospitalini ni za kutoka nje hlafu leo hii unataka kujitia kiburi utengeneze chanjo ya ugonjwa sumbufu wa Corona?
Jikite katika hoja yake mkuu!

Kwanini tuulingize taifa zima katika jaribio hili hatarishi hasa walinzi wetu hawa?
 
Hayo majibu anayo mwendazake. Kuchomwa sindano kwenye makalio ni jambo la kawaida tu. Usipochomwa kwenye mkono basi kwenye makalio.
Mtapiga kelele humu tena kwa ID fake ila kumbuka kwenye dunia ya sasa wenye dhamana ya nchi ni viongozi wakubwa na wenye fedha.
Kama haupo kwenye hayo makundi mawili, bora ukae kimya uendelee na maisha yako.
Mtu akisoma ID yako tu anajua huyu mtu alikuwa anasindikiza watu shule.
Umekumbuka kuvaa barakoa leo?

Au wameshakudunga chanjo ya makalio?

Bwana JOHNNY IMPACT?
 
Back
Top Bottom