Mbona umeanza kumtabiria huyo dogo mabaya mkuu?
kama matokeo yake yatakua mabaya itabidi akae nyumban kwan akuna course inataka m2 aliye feli(failure), be positive bro!!
huyo dogo ikitokea amefeli basi mpeleke ualimu maana ndo anaweza kutoka ila ukimpeleka sehemu zingine naamini basi ishu zitakuwa hizo hizo kufeli.......ila jitahidi kumuhimiza kuwa kusoma na kuelewa ni njia nyepesi ya kufahuru kuliko msaada huu unaotaka kuufanya wa kusikilizia mpaka adunde ndo uuonyeshe.
Ualimu siyo kimbilio la waliofeli atafundisha nini huko?
hapana, kwa Tanzania hii, ualimu ni kimbilio la waliofeli. Angalia idadi ya walioomba Ed TCU, wengi wana div 3! Wanaogopa kukosa chuo au mikopo. Wanaona bora wajaze tu.