Course of veterinary medicine in SUA

Hyo kozi ni heavy kijana,, ukija hapa SUA sahau kula bata kabisa japo kozi zote hapa especially Sciences ni ngumu ila hiyo ni balaa kama ulizoea kulala masaa zaid ya 8 basi ukija huku inabidi ulale chini ya 4...
Kila kila kheri, karibu SUA but kumbuka hapa C yetu inaanza na 50+
SUA si mchezo, kijana ajiandae. Tena hilo liBVM halihitaji masihara hata kdg
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom