SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,342
Kuna sehemu nimeona Mwl nae kaathirika baada ya kufundisha. Yaani naye anahitaji mahitaji maalumuKufanya kazi ya kufundisha watoto wenye mahitaji maalumu ni changamoto hasa. Ulemavu wao ni changamoto kwa mtu anayesomea hiyo kazi si kwa sababu ana wito wa hiyo kazi bali yeye masilahi kwake ndiyo muhimu. Aina ya wanafunzi ni tofauti na wa shule za kawaida kwa hiyo unatakiwa ujitoe zaidi.