Course ipi ni bora kati ya hizi Bachelor of laws Vs Bachelor of art in procurement zote katika chuo cha uahirika moshi(MOCU)

thee kid

Member
May 13, 2019
64
48
IPi ina wigo mpana katika kuajiriwa na kujiajiri?? Pia naombeni ushauri nisome IPI kati ya hizo kozi pale chuo cha ushirika moshi(MoCU)
 
Kama ulivyoomba chuo ukapata kuna waliokosa hiyo ilikuwa bahati yako hivyo basi chagua course unayoipenda kati ya hizo suala la soko la ajira ni bahati yako pia.
Binafsi zote ni nzuri
Nikutakie uchaguzi mzuri
 
Law unaweza kujiajiri baada ya kupiga Law school ukawa unaambulia hata hela ya mhuri, lakini hiyo procurement ni mpaka uajiriwe!! na nafasi moja inagombaniwa na wati 1000!!
 
Back
Top Bottom