Course gani fupi za miezi angalau sita ambazo zinaweza kuwa na faida kwa aliyemaliza Form Four?

Wakuu nina vijana wawili wa kike na wa kiume wamemaliza kidato cha nne mwaka huu 2021.

Kama mnavyofahamu kwamba matokeo yao yakitoka January wanatapaswa kujiunga kidato cha tano mwezi July.

Sasa kwa miezi yote hii sita naona kama muda ni mrefu sana kwa wao kukaa nyumbani tu.

Sasa nilitamani wapate course fupi angalau kwa kipindi hicho ili waongeze maarifa.

Naomba ushauri ni course gani ambayo itakuwa na msaada kwao?
Computer 6 months www.tzcodeacademy.com kozi tofauti, practical based
 
Wapeleke UCC au VETA pale wakapige walau Basic computer courses
 
Back
Top Bottom