Kwann sio physics ya advance 😀😀😀😀😀😀Habari ndugu zangu, natumaini wazima kabisa!
Naomba kushirikishana nanyi katika mada (kozi) tajwa hapo juu...!!
Mimi ni kijana mhitimu wa chuo kikuu mwaka 2022, katika kozi tajwa hapo juu. Naamini kuna fursa mbali mbali katika jamii mnazoishi, naomba kuwasilisha ombi langu kwenu kwamba niko tayari kufanya kazi yeyote na katika mazingira tofauti tofauti, katika kazi hizo, zifuatazo huenda ikawa mmojawapo;
1. Kufundisha Physics (O-level) na mathematics
2. Computer fields
3. Aviation Fields (T.M.A)
4. Office tasks
Mawasiliano yangu +255713538560 (WhatsApp & normal call).
Natanguliza shukran zangu za dhati
ThanksKama ulipasi vizuri tafuta scholarship uende kwa wenye fani yao huko ndio wanaithamini sana Physics.....
Scholarships | Information for students from Tanzania | The University of Manchester
Research. Teaching and learning. Social responsibility. Discover more about The University of Manchester here.www.manchester.ac.uk
The Fulbright Foreign Student Program
The Fulbright Foreign Student Program is open to any qualified candidate but strongly encourages the inclusion of female candidates and prefers candidates who have not had extensive recent experience in the United States.tz.usembassy.gov