Madima
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 351
- 299
Nikikumbuka naishia kucheka tu mana nilikua nipo A level na demu wangu yupo O level ila yeye yupo day mimi boarding shule moja na story za maticha kufanya upelelezi wa watu walio kwenye mahusiano nipo likizo demu ananipigia eti amebanwa akanitaja nimerudi ni full kesi mwishowe nikala adhabu nakuandikwa kwenye BLACK BOOK kumbe ndo walichomoa betri kwenye mapenzi yetu mana yalizidi kunoga
Toeni experience zetu kwenye hili mliowahi kupitia
Toeni experience zetu kwenye hili mliowahi kupitia