Couple za shule ni shida

Madima

JF-Expert Member
May 25, 2019
351
298
Nikikumbuka naishia kucheka tu mana nilikua nipo A level na demu wangu yupo O level ila yeye yupo day mimi boarding shule moja na story za maticha kufanya upelelezi wa watu walio kwenye mahusiano nipo likizo demu ananipigia eti amebanwa akanitaja nimerudi ni full kesi mwishowe nikala adhabu nakuandikwa kwenye BLACK BOOK kumbe ndo walichomoa betri kwenye mapenzi yetu mana yalizidi kunoga
Toeni experience zetu kwenye hili mliowahi kupitia
 
M nilikuwa na demu wa form three m npo form four nilipomaliza kakanipiga chini kwa dharau kalifeli m nilipofika chuo nikakakuta dar kaliniganda sana
 
Kuna jamaa mmoja hivi aliwahi nitaka tukiwa form 3 mpaka namaliza o'level sikuwahi kumkubali pamoja nakutumia mbinu mbalimbali ila wapi sasa sikumoja nikaja kukutana nae mjini mbeya tukasalimiana nikimcheki hivi namuona si wa kawaida kabisa ikabidi nijiulizishe maswali vipi uko wapi sikuhizi akaniambia yuko Arusha anafanya biashara ya samaki anatoa mwanza anapeleka Arusha hana madoido wala nini kwa kuwa na mimi nilikuwa mwanafunzi huku nimepewa ofisi nisimamie sikushoboka kiivyo maana nilikuwa natupesa twa kunipa jeuri sikuomba hata namba
 
Nipo form 3 seminary x nikawa na karembo changu shule x kakatuma barua utaratibu wa hiyo seminary barua ikija inasomwa na padri wa nidham ndo ikufikie

Dahh ilikuwa ndo tumetoka likizo na likizo nilimpiga mti sasa alivyo kosea ile story yote ya mgegedo aliiandika mule na akaweka ahadi tukifunga tena tufanye zaid ya ile ile barua ikaja soma dining hall muda wa diner watu wametuliaaaaa hapo jina halija tajwa bado ila nikawa nishajijua maana mishale yote ilikuwa inanilenga mm dahhh nilipigwa adhabu ya kuchimba visiki na likizo iliofata nikaitumikia shule yoteeeeee utoto raha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom