Couple: Makamba Rais, Zitto Waziri Mkuu

Kimbakuli

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
405
427
Bila kujali vyama, bila kujali itikadi ningeambiwa mimi nipendekeze couple ya rais na waziri mkuu baada ya muda wa muheshimiwa kumalizika, bila shaka yoyote ningeyaweka haya majembe

Nayakubali sana haya majembe, b'se mimi ni muumini wa kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi na hawa washikaji kwa analysis zangu nilizofanya wana quality zote za kuukimbiza uchumi mpaka wakenya wakaomba tuwasubiri kidogo.

Lakini ukiachana na uchumi jamaa wana hekima sana na utu, vitu ambavyo kiongozi yoyote ili awe mzuri lazima awe navyo.

Ni mtazamo wangu lakini naomba muweke couples zenu za president na pm wa 2025 wakuu.

Note: sio lazima wawe wa chama kimoja, na wala sio lazima awe mwanasiasa.

Love tz
 
Vice President: FATUMA KARUME.
Nilimsahau Salary slip Kanikumbusha kwenye uzi wake.
Thanks.
 
Lissu Ana Misimamo Mikali, Mukiongozwa Na Rais Mwenye Msimamo Mkali Huwa Hawasikilizi Maoni Ya Wananchi Wala Hawataki Kushauriwa
Lakini Kingine Lissu Akiingia Madarakani Ataanza Kuwasaka Waliompiga Risasi Badala Ya Kukimbiza Uchumi Wa Nchi
Khaa.. ndio nini! lissu ni mtu wa kushaurika sio kama huyu aliepo! lissu sio mtu wa visasi kama huyu aliowapandikiza hio mbegu! lissu ataweza kusamehe kama anavyofanya sasa, sababu waliompiga hawafahamu! lissu ndio atakua rais wa mfano kote!
 
Bila Kujali Vyama, Bila Kujali Itikadi Ningeambiwa Mimi Nipendekeze Couple Ya Rais Na Waziri Mkuu Baada Ya Muda Wa Muheshimiwa Kumalizika, Bila Shaka Yoyote Ningeyaweka Haya Majembe

Nayakubali Sana Haya Majembe, B'se Mimi Ni Muumini Wa Kasi Kubwa Ya Ukuaji Wa Uchumi Na Hawa Washikaji Kwa Analysis Zangu Nilizofanya Wana Quality Zote Za Kuukimbiza Uchumi Mpaka Wakenya Wakaomba Tuwasubiri Kidogo.

Lakini Ukiachana Na Uchumi Jamaa Wana Hekima Sana Na Utu, Vitu Ambavyo Kiongozi Yoyote Ili Awe Mzuri Lazima Awe Navyo.

Ni Mtazamo Wangu Lakini Naomba Muweke Couples Zenu Za President Na PM Wa 2025 Wakuu.

Note: Sio Lazima Wawe Wa Chama Kimoja, Na Wala Sio Lazima Awe Mwanasiasa.

Love Tz
Kuliko January ni heri apewe yule kinara wa maRC wote nchini!
 
Back
Top Bottom