Country salad

farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,568
16,902
Type 1

Mahitaji

Majani ya salad

Samaki asie na miba wa kuchemsha bila ya viungo weka chumvi (unaweza tumia samaki wa kikopo)

Nyanya 1 kubwa

Kitunguu maji kidogo sana 1

Pilipili mboga 1 ndogo

Mayai 2 ya kuchemsha...

Extra virgin olive oil (sio lazima)

Tomato ketchup

Chumvi kidogo

Namna ya kutaarisha

Osha vegetables zote vizur

Katakata majani ya salad katika sahani

Weka samaki juu yake

Panga vegetables vilobakia juu yake style upendayo

Ukimaliza nyunyizia chumvi juu

Weka tomato ketchup

Country salad tayar kwa kuliwa....
 
Attachments

  • Toronto-20140523-02058.jpg
    Toronto-20140523-02058.jpg
    332 KB · Views: 219
mshana jr njoo huku nimekuekea kitu chako

farkhina nilichelewa mahali ila nimeisoma hiyo na hivyo kesho ni wkend...! wee acha tu nashinda na msuli Angy Pembeni mwangu habanduki...by the way thanx farkhina
 
Last edited by a moderator:
farkhina nilichelewa mahali ila nimeisoma hiyo na hivyo kesho ni wkend...! wee acha tu nashinda na msuli Angy Pembeni mwangu habanduki...by the way thanx farkhina

U welcome....huyo angy atakutoa roho
 
farkhina hupendi dressing kwenye salads zako?

Mi napenda lemon-mustard vinaigrette salad dressing.....
 
Last edited by a moderator:
Type 1

Mahitaji

Majani ya salad

Samaki asie na miba wa kuchemsha bila ya viungo weka chumvi (unaweza tumia samaki wa kikopo)

Nyanya 1 kubwa

Kitunguu maji kidogo sana 1

Pilipili mboga 1 ndogo

Mayai 2 ya kuchemsha...

Extra virgin olive oil (sio lazima)

Tomato ketchup

Chumvi kidogo

Namna ya kutaarisha

Osha vegetables zote vizur

Katakata majani ya salad katika sahani

Weka samaki juu yake

Panga vegetables vilobakia juu yake style upendayo

Ukimaliza nyunyizia chumvi juu

Weka tomato ketchup

Country salad tayar kwa kuliwa....

Hii itakuwa my dinner most of days
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom