Rank Country Number of billionaires
1 United States 269
2 Japan 29
3 Germany 28
4 Italy 17
5 Canada 16
6 Switzerland 15
7 France 15
8 Hong Kong 14
9 Mexico 13
10 United Kingdom 12
11 Russia 8
11 Saudi Arabia 8
Hivi kipi ni muhimu? Kuwa na miela mingi au kupata muda na fursa ya kula happy?
Kula happy kinategemea kuwa na miela, so obvious miela ndo muhimu ktk dunia ya sasa!!
Labda uje na hadithi za azimio la arusha!
Tanzania 3
Kula happy kinategemea kuwa na miela, so obvious miela ndo muhimu ktk dunia ya sasa!!
Labda uje na hadithi za azimio la arusha!
Haina ukweli.Unaweza kuwa na mihela na ukawa na huzuni/uchungu mkuu.mfano ni Michael Jackson.Mihela yake haikumsaidia hata kidogo.Kula happy kinategemea kuwa na miela, so obvious miela ndo muhimu ktk dunia ya sasa!!
Labda uje na hadithi za azimio la arusha!
Haina ukweli.Unaweza kuwa na mihela na ukawa na huzuni/uchungu mkuu.mfano ni Michael Jackson.Mihela yake haikumsaidia hata kidogo.
Kula happy kinategemea kuwa na miela, so obvious miela ndo muhimu ktk dunia ya sasa!!
Labda uje na hadithi za azimio la arusha!
Ina-depend happy hiyo ina-cost kiasi gani. Kama mimi ningeulizwa unataka nini ningechagua vyote ktk uwiano wa miela(10%) + muda(90%).