Countries with the Most Billionaires

jamadari

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
295
92
Rank Country Number of billionaires
1 United States 269
2 Japan 29
3 Germany 28
4 Italy 17
5 Canada 16
6 Switzerland 15
7 France 15
8 Hong Kong 14
9 Mexico 13
10 United Kingdom 12
11 Russia 8
11 Saudi Arabia 8
 
Rank Country Number of billionaires
1 United States 269
2 Japan 29
3 Germany 28
4 Italy 17
5 Canada 16
6 Switzerland 15
7 France 15
8 Hong Kong 14
9 Mexico 13
10 United Kingdom 12
11 Russia 8
11 Saudi Arabia 8

What is your source mkuu?
 
Du hii noma, yaani nchi kumi bora ukiondoa USA hazifikii hata robo tatu ya billionaires waliopo USA!! Kweli jamaa wamebobea kwenye ubepari!! Tujuze chanzo chako? Au umefanya tafiti mwenyewe?

Kweli mzee wa vijisent Chenge alikuwa sahihi kujiita yeye ni maskini wa kutupwa!
 
Hivi kipi ni muhimu? Kuwa na miela mingi au kupata muda na fursa ya kula happy?
 
Hivi kipi ni muhimu? Kuwa na miela mingi au kupata muda na fursa ya kula happy?

Kula happy kinategemea kuwa na miela, so obvious miela ndo muhimu ktk dunia ya sasa!!

Labda uje na hadithi za azimio la arusha!
 
Kula happy kinategemea kuwa na miela, so obvious miela ndo muhimu ktk dunia ya sasa!!

Labda uje na hadithi za azimio la arusha!

Ina-depend happy hiyo ina-cost kiasi gani. Kama mimi ningeulizwa unataka nini ningechagua vyote ktk uwiano wa miela(10%) + muda(90%).
 
Kula happy kinategemea kuwa na miela, so obvious miela ndo muhimu ktk dunia ya sasa!!

Labda uje na hadithi za azimio la arusha!
Haina ukweli.Unaweza kuwa na mihela na ukawa na huzuni/uchungu mkuu.mfano ni Michael Jackson.Mihela yake haikumsaidia hata kidogo.
 
Haina ukweli.Unaweza kuwa na mihela na ukawa na huzuni/uchungu mkuu.mfano ni Michael Jackson.Mihela yake haikumsaidia hata kidogo.

Hayo ni mawazo ya azimio ya arusha (mawazo mgando), nipe mimi hela kama utanikuta nina huzuni.....MJ alikuwa na stress zingine tu ambazo hata angekuwa hana hela angekuwa nazo na tena ndo angekufa akiwa na miaka 22 tu.., pesa ndo zimemsogeza mpaka age ya 50!!
 
Kula happy kinategemea kuwa na miela, so obvious miela ndo muhimu ktk dunia ya sasa!!

Labda uje na hadithi za azimio la arusha!

Brooklyn!
Koma na tena utuombe radhi; Azimio la Arusha si hadithi; ni sera na dira muafaka kwenye vinchi vidogo kama cha kwetu; ona lilivyotupwa na wizi na ufisadi ulivyochukua nafasi hadi mwl wa primary anafisadia vifaa vya wanafunzi anaotarajiwa kuwafundisha!
 
Ina-depend happy hiyo ina-cost kiasi gani. Kama mimi ningeulizwa unataka nini ningechagua vyote ktk uwiano wa miela(10%) + muda(90%).

Yes mkuu; its not about the money; statistics za Japan wana suicides nyingi miongoni mwa watu wenye maisha mazuri na kipato kizuri!
 
Wengi wao in inovator wakubwa sana katika technology na waanzilishi wakubwa wa mambo ya yote na kufanya wawe wa kwanza
 
JAMANII MBONA INDIA HAIPOOO.ILE NCHI INA MABILIONAIRES WENGI SANA HAPO INAWEZA KUSIMAMA LABDA NYUMA YA USA.NADHANI CHEKI VIZURI DATA ZAKO.LIST KAMILI NI KAMA IFUATAVYO:-

)

Rank Country Number of billionaires Category
1 United States 360 Category:American billionaires
2 China 79 Category:Chinese billionaires
3 India 58 Category:Indian billionaires
4 Germany 54 Category:German billionaires
5 Russia 32 Category:Russian billionaires
6 United Kingdom 25 Category:British billionaires
7 Canada 23 Category:Canadian billionaires
8 Hong Kong 19 Category:Hong Kong billionaires
9 Japan 17 Category:Japanese billionaires
10 Saudi Arabia 14 Category:Saudi Arabian billionaires

SOURCE:- [ame]http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_countries_by_the_number_of_billionaires[/ame]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom