Counting the cost in the southern side ;gase gase war inside mtwara

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,143
12,542
Without a further ado,INATOKA AU HAITOKI??

Kesho tunaendeleza zile harakati za kutoskia blah blah na fake promises za mafisadi na wale waliodhamiria kutukata mapembe,

Baada ya kukamatwa kwa wanaharakati kadhaa akiwemo KATIBU WA VIJANA WA CUF NDUGU KHATANI KHATANI na Mbunge wa Mtwara Mjini Ndugu ASNEIN MURJI kwa tuhuma za uchochez na kusababisha vurugu za gesi,wananchi wa kusini na viunga vyake kama newala,tandahimba na mtwara vijijin tunaendeleza harakati zetu za kuiasa serikali kuwaachia viongoz hao kwa njia yetu ile ile ya PASSIVE RESISTANCE NA PEACEFUL DEMOSTRATIONS KUITANGAZIA TANZANIA NA DUNIA NZIMA...

WATU WAMEENDELEA NA UTARATIBU WA KUNUNUA BIDHAA NA MAHITAJI YAO YOTE KWA AJILI YA KUJIANDAA NA HALI YA TAHARUKI KWA SIKU YA KESHO NA KUENDELEA...

IKUMBUKWE YA KWAMBA KWA SASA MTWARA PAKO CHINI YA UANGALIZI WA JESHI LA WANANCHI LA TANZANIA,NA WANANCHI WAMEONEKANA KULIFAHAM HILO NA KUENDELEA NA MSIMAMO WAO KWA KUUNGANISHA NGUVU ILI KUJUA HATIMA YA VIONGOZ WAO...

STAY TUNED..!

HAPA HAPA JAMII FORUM NDIPO TUTAPOHABARISHANA.
 
Kwani Mama Makinda si alisena kamati ya Bunge inakuja huko kuwasikiliza!

Bado haijafika tu hiyo kamati mkuu?
 
duh...bado ngoma Inapigwa, wachezaji hawajajua wacheze kwa style gani....
 
Kwani Mama Makinda si alisena kamati ya Bunge inakuja huko kuwasikiliza!

Bado haijafika tu hiyo kamati mkuu?

Sisi pia tunashangaa,

Hatujaiona hiyo kamati yenyewe,

Badala ya kuileta kamati wao wanaona ni bora kuwakamata viongoz wetu??

Wachochez ni hao viongoz au serikali kwa kukaidi hayo waliyoyasema???
 
Siamini kama hayo yatawezekana mbele ya jw. Nawashauri mkubali yaishe, kwani mlikwisha uzwa ili kumwokoa mwana wa mfalme aliyekamatwa nje akiwa na unga.
 
Sisi pia tunashangaa,

Hatujaiona hiyo kamati yenyewe,

Badala ya kuileta kamati wao wanaona ni bora kuwakamata viongoz wetu??

Wachochez ni hao viongoz au serikali kwa kukaidi hayo waliyoyasema???

Juhudi za mazungumzo zinatakiwa kama tulivyokwisha zungumza huko nyuma. Nguvu sio mwarobaini!
 
Naona Magari ya Polisi yanazunguka na maspika makubwa kuutangazia UMMA kwamba waendelee na kazi zao hapo kesho kama kawaida....naona wanalazimisha sana!! Maduka ni yetu na kuyafunga ni umamuzi wetu...wao wayafungue ya kwao na waendelee shughuli zao, shida iko wapi hapo??

Bt I smell smthng rot hapo kesho!! Watu wengi leo wamesafairi kwenda Masasi. na kwingineko.
 
Swali zuri sana hilo Sizinga,
Wanalazimisha mtu ufungue duka lako?kwani lazima?
Mwaka huu mbona watajuta??
 
Naona Magari ya Polisi yanazunguka na maspika makubwa kuutangazia UMMA kwamba waendelee na kazi zao hapo kesho kama kawaida....naona wanalazimisha sana!! Maduka ni yetu na kuyafunga ni umamuzi wetu...wao wayafungue ya kwao na waendelee shughuli zao, shida iko wapi hapo??

Bt I smell smthng rot hapo kesho!! Watu wengi leo wamesafairi kwenda Masasi. na kwingineko.
Sasa naanza kuelewa kwanini nchi nyingi huingia kwenye machafuko ya muda mrefu, serikali hawatumii akili katika kukubaliana na wana mtwara. kiukweli wananchi wana madai ya kweli kabisa.kesho itakuwa noma, mie nitatia timu barabarani kuangalia yanayo jiri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom